Kibomba cha maji ndiye adui mpya wa mahusiano yetu

eity 4

Senior Member
Dec 7, 2014
105
225
Kuna kale kadude tunakwenda chooni kwa ajili ya kuchambia, au kuogea kwa Dada zetu wanaotia dawa nywele au walioshona mawigi wenyewe wanakaita shower.Haka kadude wake na mademu zetu wamegeuza ndio Michelob mipya.
Kuna jamaa yangu juzi kamfuma mke wake akijihudumia kwa kutumika haka kadude, jamaa aliita Mara Saba mke wake wala hata hakuitika si ndiyo jamaa kagungua mlango wa bafu! Kakuta mama kajitanua kwenye jakuzi yupo bize na hako kajamaa.


 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom