255 Systems
Member
- Aug 31, 2013
- 29
- 5
Usitudanganye,sema wewe unatangaza biashara. Kiboko ya wezi hii hapa,unabisha ?tuna mpaka wa pili mtaani hatujasikia nyo..ko nguo na magari tunalaza nje usiku na mchana.
kufunga system nzima ni sh.ngapi?
kwa nini huwa mnashindwa kuweka kila kitu wazi ili mtu anapokutafuta anakuwa na kitu tayari?
hivi nyie kilasiku ni wageni JF?
Tupe walau roughly figures
Weka Sample quotation hapa! kila mtu ajue! sina ulazima wa kuku-pm wakati ni jukumu lako kunielewesha mm(mteja) ili nivutiwe na huduma zako!
sorry for this late reply wakuu,kuweni wapole kidogo.ok
1.electrical fencing tunacharge tzs 20,000/= per metre lakini mimnimal charge kama ukuta wako uko chini ya metre 100 bei ni 1.5 ml
2.motor gate pamoja na installation na maintanance kama itakusumbua (6 months) tunacharge 1.6 ml
Received with thanks.
Nitakutafuta tufanye biashara.
Hyo 1.6m pamoja na geti? Hyo 20k per Meter haina discount?