Mgirik JF-Expert Member Joined Apr 27, 2013 Posts 13,286 Reaction score 13,460 Mar 30, 2015 #1 Hii kitu ni muhimu sana kwa maisha haya na huko tuendako. Attachments 1427708956050.jpg 67 KB · Views: 369
mzushi JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 3,094 Reaction score 4,256 Mar 30, 2015 #2 Mgirik said: hii kitu ni mhimu sana kwa maisha haya na huko tuendako Click to expand... dalili za woga tu kuwa na hiyo kitu mnaishia kupiga hewani tu mkikutana na ngumu jiwe
Mgirik said: hii kitu ni mhimu sana kwa maisha haya na huko tuendako Click to expand... dalili za woga tu kuwa na hiyo kitu mnaishia kupiga hewani tu mkikutana na ngumu jiwe
masanza1 JF-Expert Member Joined Jan 14, 2015 Posts 288 Reaction score 139 Mar 30, 2015 #3 Unatepeteshwa na unakalishwa chini huku unayo kiunoni
M Morinyo JF-Expert Member Joined Aug 26, 2011 Posts 2,797 Reaction score 1,594 Mar 30, 2015 #4 mzushi said: dalili za woga tu kuwa na hiyo kitu mnaishia kupiga hewani tu mkikutana na ngumu jiwe Click to expand... Uzoefu wangu unaonyesha watu wote walikutwa na umauti hiyo kitu haijawasidia pamoja na kua nao na wengine wamejiondoa duniani kwa kutumia siraha zao wenyewe.
mzushi said: dalili za woga tu kuwa na hiyo kitu mnaishia kupiga hewani tu mkikutana na ngumu jiwe Click to expand... Uzoefu wangu unaonyesha watu wote walikutwa na umauti hiyo kitu haijawasidia pamoja na kua nao na wengine wamejiondoa duniani kwa kutumia siraha zao wenyewe.