Kiboko ya Ujambazi kama Kweli -Spy Camera Hellicopter

Kiboko ya Ujambazi kama Kweli -Spy Camera Hellicopter

Governor of Bettors-GB

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
10,734
Reaction score
9,915
Wanajopo kuna hili Tangazo nimeliona kwenye zoom na bei yake nikastuka saana.
Ila sijajua utendaji wake na uwezo wake,nikaona kwamba ni kiboko ya Majambazi
Yaani unaweza kurusha ki hellcopter kidogo kama toys chenye Camera na kunasa tukio.Sasa hivi wale majambzo wanaovamia mitaani si rahisi kuwafuatilia kwa kukirusha?na wale wenye mashamba makubwa si rahisi kwa ulinzi wao
Wazoefu mtatujuza

Nimecopy maelezo kwa ya walioweka hao jamaa wa Capricon Technologies kama ifuatavyo hapo chini kupitia zoom Tanzania

Spy Camera Gyro Twin Pro Hellicopter

TOO-BL K-HJ912-US-P B HJ912 Med ium (1: 32 Scale) B1 Spy Camera Gyro Twin Pro Helicopter

PRICE:198,000/= $90
attachment.php
 
Attachments

  • camera.jpg
    camera.jpg
    7.2 KB · Views: 1,050
Hapa kazi tu sasa.
Go Magufuli go, ulipo tupo.
 
Last edited by a moderator:
mkuu zanzibar majambazi nowdays now wame advance wana mbinu zaidi ya police.
 
Inauzwa wapi hii mkuu

Mkuu zinauzwa Dar
Nimeona contact zao hizi hapa
OUR LOCATION:Capricon Technologies, Junction of Jamhuri and Morogoro road, near International Commercial Bank, city center Dar Es Salaam.
 
mkuu zanzibar majambazi nowdays now wame advance wana mbinu zaidi ya police.

Mkuu sio kweli kwa hili kaka,tatizo matukio mengi vyanzo ni sie raia,polisi nao binaadam na wanategemea taarifa kutoka kwetu
-We mtu anapeleka pesa Bank peke yake bila kuwa na msaada wa Ulinzi,hapa unalaumu Polisi
-Familia kuchomana wao kwa wao au kampuni kuchomana wao kwa wao juu ya muda ambao pesa zinatolewa
-Unakuta mtaani kuna watu karibia sita kama kule Mbezi,kinondoni au magomeni wanamiliki silaha kihalali,lakini jirani yao anavamiwa hata kurusha moja ya kumuokoa mwenzao hawafanyi hivyo,sasa hapa pia unalaumu polisi au sie raia ndio tuna matatizo yetu
-Anahamia mtu mtaani hamumjui,badala ya kwenda serikali ya mtaa mnakaa kimya,likiisha tokea tukio inakuwa eeee tulimuona anakamaa mle.
so,sie lazima tusaidie jeshi la polisi na sio kuwalaumu,wanajitahisi sana.Wale sio miungu watu kwamba wajue kila sehem kuna nini bila kupata ushirikiano ili na wao waingize taalum yao sehem husika
 
sasa ukisha kapeperusha kanakumbuka njia ya kurudia?
na kanatumia energy gani na inasurvive mda gani?
 
hizo copter/drone zinazoruka sio issue zipo hadi za dola 30. ila kuna changamoto nyingi

1. camera ya quality kubwa yenye optical image stabilization kiasi kwamba kifaa chako kinachoruka kikiwa kwenye motion basi iweze kuchukua tukio bila misuko suko na video iweze kuangalizika

2. camera iwe nyepesi isije kudondosha kiruko chako

3. ukaaji chaji wa kiruko, sio majambazi ndo wanaanza kuiba kitu kimeisha charge

4. control nzuri kuweza kuwafuatilia hao majambazi kwa umakini

ukivitick hivyo hapo juu ujue tayari cost imefika mamilion ya hela.

hata kipindi cha uchaguzi kulikuwa na drone/copter nyingi tu.
 
Asante mkuu kwa mchanganuo kaka.
Watakuja wadau wengine kujazia,
 
This is a Toy,surveillance Drone, inaanzia dolar 6,000. Tena kampuni za India,ukiangali USA na EU ni kuanzia dola 30,000 na kuendelea.
Kwa Tz bado nyuma sana kufanya ulinzi kwa hii kitu,kwani hata ukipata picha za majambazi si rahisi kumpata mtu ,tz
hamna databasa kubwa ya police ambayo unaweza ku run search on criminal records.
2.watu hawana Address,so hata ukimjua ni ngumu kumpata.
ila ni katoi kazuri kufanya ukaguzi wa shamba lako ,ukiwa umetulia unakunywa juice
 
Hako ka helicopter kanaweza kubeba kabom ka uzito gani? Hakuna sheria za mambo ya privacy au katazo la maeneo ya kukarusha?
 
Hako ka helicopter kanaweza kubeba kabom ka uzito gani? Hakuna sheria za mambo ya privacy au katazo la maeneo ya kukarusha?

Lazima katazo litakuwepo,maana kama bahati mbaya umekarusha maeneo ya jeshi,aisee hicho kichapo chake na jela moja kwa moja.
Kutakuwa na utaratibu maalum,Ila naona kama umejichimbia shambani kwako una survey shamba lako sidhani kama ni issue kubwa.Lakini muhim unaenda Lugalo pale kupata maelezo,na maelezo hayatoshi lazima upate vibali.Maana asije kurusha mwingine ukasukumiziwa wewe.At least hata barua simple tu ya kuruhusiwa.
Maana ni sawa na kumiliku silaha tu,maana unaulizwa dhamira yako ni nini
 
Back
Top Bottom