so what??????????????
Sumaye ni jiwe kuu la pembeni,ambalo mafundi wamelipuuza.Sumaye anaweza kuwa msaada mkubwa UKAWA
Demokrasia ipo chadema!? nambie wangap walichukua fom ya urais, uchaguz wa maon ulifanyikia wap na kat ya nan na nan? coz hayo yote tumeyaona ccm ambayo ndiyo indicator ya demakrasia ndan ya chamaHivi ndani ya CCM kuna democrasia ya kweli au unajishaua?
Yeremia 17: 5 Bwana asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake
Nashangaa sana kuona watu ghafla wamekuwa na mapenzi na Sumaye kisa amejiunga na UKAWA. Sumaye pamoja unaUwaziri Mkuu wake hakuwahi kuwa mwanasiasa mwenye mashiko au ufuasi au mvuto.
Sumaye huyo huyo alishindwa katika uchaguzi ndogo sana wa CCM na mwanafunzi na rafiki yake wa zamani mama Mary Nagu.
Sasa kwa mwanasiasa kushindwa vita hii ndogo ataweza kweli vita kubwa?
Mjiandae kisaikolojia kushindwa kwa sababu mko na Mr. Zero wa miaka 10+
Demokrasia ipo chadema!? nambie wangap walichukua fom ya urais, uchaguz wa maon ulifanyikia wap na kat ya nan na nan? coz hayo yote tumeyaona ccm ambayo ndiyo indicator ya demakrasia ndan ya chama