Kiboko ya Sokoine

Mkuu RRONDO, gari iliyokuwa ikiitwa Kiboko ya sokoine ni hiyo niliyoiweka hapo juu. Hawa jamaa waliozaliwa juzi kati wakati huu wa digital wanajifanya wanajua sana kumbe 0 kabisa.
Gari kama hiyo ndio ilisababisha ajali iliyopekekea kifo cha sokoine.

Nakumbuka gari flani za polisi zilikuwa zikiitwa "tetrasycline"(speling) zikiwa na rangi ya manyano na nyeusi. Gari ilikuwa ni aina ya Volkswagen golf. Ndio maana kila gari ndogo ya polisi wanaita golf.
 
Ila tumetoka mbali,hizo gari enzi hizo ndo zilikuwa juu
 
Hiyo heading sio ya kiungwana kabisa.

Tuonyeshe heshima kwa Marehemu, na alikuwa Kiongozi.
 
Siyo kweli mkuu,gari iliyosababisha ajali iliyopelekea kifo cha mkuu Sokoine ni Toyota landcruiser zile za gia3 alafu ilikuwa ni bakkie,nkipata picha ntakuwekea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…