Kibogoyo atapeta siku ya hukumu

Mgombezi

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2009
Posts
610
Reaction score
186
Padre alikuwa anahubiri :
'Biblia inasema kuwa wale wasiotubu na wanaendelea kutenda madhambi watalia na kusaga meno siku ya hukumu'.
Hapo ndipo Kibogoyo mmoja alipocheka na kumnong'oneza mwenzie akisema: 'Hakika sisi tumebarikiwa kwani adhabu ya kusaga meno kwetu hamna.., lol​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…