Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,864
Ahaaa acha utani bnaKibobo ni papuchi?
Kibubu cha kuwekea akibaKibobo ni papuchi?
Ahaaa acha utani bna
Mchana wote huu unazungumzia viungo nyeti. Unataka niache kulijenga taifa? Shenzy type zako na robo tatuHapa ndo nimeelewa sasa, hapa nilikuwa naeleka kwa babu Asprin anielezee je hicho ni vile via vya uzazi au malabuku zangu tuu hehehehehee.
Babu nshasema suu!!...
Mchana wote huu unazungumzia viungo nyeti. Unataka niache kulijenga taifa? Shenzy type zako na robo tatu
Hii boxer ikitoboka unalo. Umezungumza mambo mazito mpaka biology yangu imefanya physical change... inawaza tu kumfanyia mtu wa jinsia KE chemistry kwenye kitendea kazi chakeAahahahahahahhaaaa babuuu, ujue ukiamka unanoga sanaa....
Sasa naisikia sauti yako barabara bin mubashara.
Velcome babuuuu hehehehehee.
Raisi wetu wa vibobo amekamatwa ila tuseme kweli alikuwa anatuinspire mabaharia wa kike.
Hichi kibobo changu sijui nakufunguaje ila mpaka mwaka uishe nitakuwa na kiwanja au gari.
Mimi nashauri tusiwe tunamchukia mtu kwa kila kitu .Yale mazuri yake nayo tuyaseme jamani
Mungu amfanyie wepesi tutaendeleza vibobo vyetu
Kuna mwenzi nilidanga wee nikaweka laki nne na sabini.yeye akasema m 13 .daah
Afanaaleki... kifo hakina beki!Kibobo ni papuchi?
Afanaaleki... kifo hakina beki!
Lord have Mercy!!!
Mwambie asiwe na mashaka. Mi nshazeeka... kojoleo mpk lisimame ni mpaka nione jogoo likigegeda.... afu ukilichelewesha likilala ni mpaka wiki mbili ziishe...Hshahahahhahahahahaa babuu, umenikumbusha mbaalii.....
Hehehehehehheheheheheee ila Dadii anakumind nnavosemeshana na wewe hapa malabuku tatu kasoro hehehehehee.
Uzuri wake namuwahi kabla hajanuna.
Hapa anazungumziwa dada yupi? Nitoeni tongotongo mzee wenu mimiAlisumbua sana akili yangu huyu dada nikawa najiona me ndosijui kuweka akiba lol kumbe muuza sembe
Hapa anazungumziwa dada yupi? Nitoeni tongotongo mzee wenu mimi
Mwambie asiwe na mashaka. Mi nshazeeka... kojoleo mpk lisimame ni mpaka nione jogoo likigegeda.... afu ukilichelewesha likilala ni mpaka wiki mbili ziishe...
Afu huu uzii tunajadili mgegedo, kibubu au kiboo?
Doh afadhali simjui....Wa zeze kibubu challange jina halisi ni shamim kama sijakosea mkuu
We endelea tu. Siku nikikukamata ntakutandika na mkongojo wangu mpaka uombe poo...Hahahahabhahahaaa malabuku zako kumi na tatu kasorobo kama ndorobo eehehehehheeee
Wallah ningekuwa jirani yako ungenifinya hahahaa.
Tunajadili vyote hivyo si unaona vina na mizani vinaendana.
Hio tool ya kudangia ilipata malengelenge i guess!Rais wetu wa vibobo amekamatwa ila tuseme kweli alikuwa anatuinspire mabaharia wa kike.
Hichi kibobo changu sijui nakufunguaje ila mpaka mwaka uishe nitakuwa na kiwanja au gari.
Mimi nashauri tusiwe tunamchukia mtu kwa kila kitu. Yale mazuri yake nayo tuyaseme jamani
Mungu amfanyie wepesi tutaendeleza vibobo vyetu.
Kuna mwenzi nilidanga wee nikaweka laki nne na sabini.yeye akasema m 13.Daah