Kibaso njoo Rorya uchukue jimbo

Hizi ni fikra mgando....
''Pia atatumia nafasi kuleta watalii hasa kutoka ulaya''
''najua halmashauri,anaweza kututafutia wafadhili ili wawekeze Rorya''

Unapoona suluhisho la matatizo yako (Rorya)lipo mkononi mwa ''watalii'' au ''wafadhili''inabidi kufanya tafakari upya.
 
Wana Rorya Kibasso vipi?

Kwa uchache ni kuwa huyu bwana alikuwa mbunge wa Temeke kupitia CCM ila Mtemvu alimletea ukabila na upwani.

Huyu bwana ni taa na nuru a wana Rorya si mubaguzi,hatoi rushwa za kukufanya uwe mjinga kama Airo, bali ni aina ya kiongozi ambaye anajenga uwezo wa watu wake ili washirikiane kujiletea maendeleo,anajua halmashauri,anaweza kututafutia wafadhili ili wawekeze Rorya,pia atatusaidia ktk kutuletea wataalam hasa wa ugani ili tuweze kulima zao la biashara.Maana hapa Rorya hatuna zao la biashara na wataalam.

Pia atatumia nafasi kuleta watalii hasa kutoka ulaya na kushirikiana na mashirika ya kimarekani ktk kutembelea Rorya maana hapa ndipo jamii ya Rais wa maerekani wajaluo wanapokaa hivyo ikitumiwa vizuri karibu watalii wote wanaokuja Serengeti na Ngorongoro watakuja Rorya.

Kibasso njoo lakini kwa tiketi ya UKAWA.
 
So kama ma great thinker wa Rorya ndo aina ya Gor wanaotaka kuleta maendeleo huu wanaonyesha ubaguzi upo ndani ya damu. believe me hamtokuja mpate maendeleo. Rorya ni ya makabila mengi siyo Luo pekee yenu. plz tafuteni mtu makini na mwadilifu na mwenye misimamo then mkae pamoja mjadili wapi mmetoka, wapi mlipo na mnataka kwenda wapi kwa pamoja.
Jaribuni kuhainisha vipau mbele vyenu. Mimi najua Lakairo ni bonge la rasili mali mngemtumia vizuri japo hata kidogo mngepata pa kuanzia.
 
20120603_165852.jpg
....huyu jamaa yuko dar tuuuuuu anashinda baaa tu na watoto!,si mnaona?
 
2015 Rorya tutampa mtu anayeyajua matatizo ya wanarorya bila kuangalia kabila lake. Ila asiwe GAMBA, awe UKAWA.
..yes,luo tutawafuta kabisa ccm na hatutaki kuambukizwa ugonjwa wa omba omba na tasaf,maana yanagawa fedha ili zikiisha ukawaombe!
 
Hakuna shida kama mtampata mtu mwadilifu coz rorya kuna fursa kibao but vijana vichwani wanawaza tu kucheza mziki.
sb Airo anafanya watu wa Rorya kuwa wajinga.Wanapenda kucheza muzic tu,na huyu Mbuge akija anawapa 1000 huyoooooooooo............tumkate huyu Airo,tunataka tufanye kazi tupate maendeleo,hii biashara ya kuomba omba anatuambukiza umatonya!
 
Shida ya Rorya ni Uchumi, afya(HIV) na Elimu.

Elimu-hii ni hatari mpaka jamii nzima ikaaminishwa kwa mbuge asieweza kujenga hoja bungeni kuomba serekeli miradi ya maendeleo.

Afya-Vijiji vingi vya Rorya vinamaabukizo ya HIV ya kutisha.Watu hawana matumaini tena na maisha ndio maana hupokea rushwa ndogo ndogo na yebo yebo kwa Airo.Fanya ziara KOMUGE,KINESI,KAMOT, SOTA, KIRENGO, KAMAGETA, BUGIRE etc

Uchumi-Hakuna kiwanda hata cha kusindika maji ya kunywa au Samaki,hakuna viwanda vya tumbaku, pamba, mihogo. Hukuna hata makumbusho ya kimila za jamii ya Rorya(Cultural tourism).

Rorya haitaji CCM ama UKAWA. Inaitaji kijana mwenye fikra pevu na uadilfu. Awe na uzoefu wa kupitia na kuishi maisha ya wanarorya.

Ndg zetu wanaisha Rorya kwa matatizo hayo matatu. Mtaongoza nini siku zijazo
 
Wana Rorya Kibasso vipi?

Kwa uchache ni kuwa huyu bwana alikuwa mbunge wa Temeke kupitia CCM ila Mtemvu alimletea ukabila na upwani.

Huyu bwana ni taa na nuru a wana Rorya si mubaguzi,hatoi rushwa za kukufanya uwe mjinga kama Airo, bali ni aina ya kiongozi ambaye anajenga uwezo wa watu wake ili washirikiane kujiletea maendeleo,anajua halmashauri,anaweza kututafutia wafadhili ili wawekeze Rorya,pia atatusaidia ktk kutuletea wataalam hasa wa ugani ili tuweze kulima zao la biashara.Maana hapa Rorya hatuna zao la biashara na wataalam.

Pia atatumia nafasi kuleta watalii hasa kutoka ulaya na kushirikiana na mashirika ya kimarekani ktk kutembelea Rorya maana hapa ndipo jamii ya Rais wa maerekani wajaluo wanapokaa hivyo ikitumiwa vizuri karibu watalii wote wanaokuja Serengeti na Ngorongoro watakuja Rorya.

Kibasso njoo lakini kwa tiketi ya UKAWA.

Kibaso yupi, huyu anaendika maoni yake kwenye magazeti huku akiyaita ni "matokeo ya utafiti aliofanya" bila kueleza utafiti aliufanyia wapi na sample yake ilikuwa nini?
 
Wana Rorya Kibasso vipi?

Kwa uchache ni kuwa huyu bwana alikuwa mbunge wa Temeke kupitia CCM ila Mtemvu alimletea ukabila na upwani.

Huyu bwana ni taa na nuru a wana Rorya si mubaguzi,hatoi rushwa za kukufanya uwe mjinga kama Airo, bali ni aina ya kiongozi ambaye anajenga uwezo wa watu wake ili washirikiane kujiletea maendeleo,anajua halmashauri,anaweza kututafutia wafadhili ili wawekeze Rorya,pia atatusaidia ktk kutuletea wataalam hasa wa ugani ili tuweze kulima zao la biashara.Maana hapa Rorya hatuna zao la biashara na wataalam.

Pia atatumia nafasi kuleta watalii hasa kutoka ulaya na kushirikiana na mashirika ya kimarekani ktk kutembelea Rorya maana hapa ndipo jamii ya Rais wa maerekani wajaluo wanapokaa hivyo ikitumiwa vizuri karibu watalii wote wanaokuja Serengeti na Ngorongoro watakuja Rorya.

Kibasso njoo lakini kwa tiketi ya UKAWA.
Ni Kibaso yupi, lile jamaa nene kama yule wa viongozi wa Dar wanatumia makalio kufikiri? Nasikia hawa ni ndugu, yule wa makalio na Kibaso. Asijidanganye hawezi kumwondoa Aira, labda anapima upepo!
 
Wana Rorya Kibasso vipi?

Kwa uchache ni kuwa huyu bwana alikuwa mbunge wa Temeke kupitia CCM ila Mtemvu alimletea ukabila na upwani.

Huyu bwana ni taa na nuru a wana Rorya si mubaguzi,hatoi rushwa za kukufanya uwe mjinga kama Airo, bali ni aina ya kiongozi ambaye anajenga uwezo wa watu wake ili washirikiane kujiletea maendeleo,anajua halmashauri,anaweza kututafutia wafadhili ili wawekeze Rorya,pia atatusaidia ktk kutuletea wataalam hasa wa ugani ili tuweze kulima zao la biashara.Maana hapa Rorya hatuna zao la biashara na wataalam.

Pia atatumia nafasi kuleta watalii hasa kutoka ulaya na kushirikiana na mashirika ya kimarekani ktk kutembelea Rorya maana hapa ndipo jamii ya Rais wa maerekani wajaluo wanapokaa hivyo ikitumiwa vizuri karibu watalii wote wanaokuja Serengeti na Ngorongoro watakuja Rorya.

Kibasso njoo lakini kwa tiketi ya UKAWA.

Kibaso ni nani na Odero ni nani ? Wajalu kwa Rorya inatosha sasa .Wajaluo is about time mjue Rorya ina watu wengine .
 
Back
Top Bottom