Kibano cha Houthi hatimaye Israel imetoa mlio

Kibano cha Houthi hatimaye Israel imetoa mlio

Sigonella Island

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
13,484
Reaction score
40,858
Kamanda wa Navy Israel ametoa mlio baada kubanwa meli za Israel kupita Red sea na Yemen jambo ambalo linaenda kuathiri uchumi wa Israel moja kwa moja na kuwarudisha zama za mawe...Ni jambo la kupongezwa kwa maamuzi magumu Yemen[emoji23][emoji122][emoji122]

[emoji1630] Former Israeli Navy Commander Eliezer Merom to Radio 104:

“Israel is under a naval blockade, and shipping traffic from the Red Sea to “Israel” is completely closed.

The naval blockade will have an impact on the entire israeli economy & imported goods will have higher prices.

The goods will arrive late, and a large portion of “israeli” production is manufactured from raw materials coming from the far east.”
IMG_20231214_145717.jpg
IMG_20231214_142345.jpg
 
Duniani tunategemeana wao wanadhani vita inaleta solution..solution iko kwenye haki ..
Walipewa haki mwaka 1948 wakapewa eneo kubwa ila wao wakaona kuunda taifa sio sahihi bali kuua wayaud ndio sahihi , mwaka 2000 wakapewa fursa nyingine tena ila wakakataa , waisrael mtawalaumu bure tu ila hao wavaa kobaz wasumbuf sana , huko Indonesia wameshambulia kanisa watu wakiwa wanasali , yaan waislam ni wakorofi sana
 
Wanachonifurahisha israel sawa na mpita njia afu mbwa zinambwekea kila sehemu haangaiki kulusha mawe yeye amenyoka na njia tu mpaka mwisho mbwa kama hezbollah houth wale wanaokufa njaa haangaiki nao yeye ananipigia tu wavaa kobus gaza kule anasafisha magaidi 20000+ mpaka sasachalii na vitoto vyao
 
ISRAEL ni kama RUSSIA tu...
Usifananishe israel na Russia vikwazo alivyowekewa russia akiwekewa israel hata robo yako nchi inasambaratika inakuwa km Tanzania tu,Russia ana vikwazo zaidi ya 2000+ na bado anapigana na nchi zote za ulaya+ Nato na wanachemka usimfananishe russia na yeyote unamkosea heshima
 
Back
Top Bottom