Kibanda cha vyumba 3 na kiwanja kinauzwa kimara suca | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kibanda cha vyumba 3 na kiwanja kinauzwa kimara suca

Discussion in 'Matangazo madogo' started by ben van mike, Jan 16, 2012.

 1. b

  ben van mike JF-Expert Member

  #1
  Jan 16, 2012
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 471
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 33
  wadau nauza kiwanja kimara suca , kina kibanda cha vyumba 3 , eneo zuri karibu na barabara ,gari linafika , maji , umeme , bei naanzia mil 25 maelewano yapo , na matatizo ya kifamilia ndio maana nauza otherwise ni mahali ningependa nijenge nyumba ,ukubwa wa eneo ni urefu mita 32 ....upand ni mita 22 kwa 17 , kwa mawasiliano zaidi piga namba 0754279959 ,shukrani
   
 2. K

  Kintiku JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Wewe ni dalali au ndo mwenye mali. Hicho kibanda kimeunganiswa na umeme? Ni umbali gani toka barabara ya lami?
   
 3. b

  ben van mike JF-Expert Member

  #3
  Jan 16, 2012
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 471
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 33
  hamna dalali mkuu , piga namba hiyo kwa maelezo zaidi
   
 4. Z

  Zion Train JF-Expert Member

  #4
  Jan 23, 2012
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 503
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kina hati tayari, kipo bondeni? na kina ukubwa gani?
   
 5. f

  fisi 2 JF-Expert Member

  #5
  Jan 23, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,337
  Likes Received: 521
  Trophy Points: 280
  mafuriko je?
   
 6. b

  ben van mike JF-Expert Member

  #6
  Jan 24, 2012
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 471
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 33
  ukubwa wa eneo ni urefu mita 32 ....upand ni mita 22 kwa 17 , mafuriko hayajafika mkuu hakipo bondeni , hakina tittle deed kina hati ya makazi
   
 7. L

  Logik Member

  #7
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Kipo Upande gani kama unatokea Ubungo na kama kilomita ngapi kutoka Morogoro road
   
Loading...