ladslaus vicent
Member
- Aug 14, 2015
- 18
- 2
Ok..kuna changamoto gani kwenye hiyo biashara...?Nipo na kazi za project field mkuu. So nalazimika kusimamia iyo project kwa takribani miezi 6. Sitaki kuwa mchoyo na wenzangu wafaidi.
Kipo kijiji ganiPata kibanda cha Mpesa kwa bei raisi, pia line za Mpesa zipo na kama ujue kufanya biashara hii nitakufundisha vzuri. Kibanda ni TSh. 150,000 na line za Mpesa na airtel ntakupatia zote kwa Tsh.250,000. Karibu na wewe ufaidike na kujiajiri.View attachment 419747View attachment 419748
Iyo kazi uaminifu tu kwa mfanyakazi wako kutunza ela. BT kama unafanya mwenyewe akuna changamoto , kama una mtaji kaki 2. Jioni ukifunga lazma ionekane iyo laki 2 . so ukimwajili mfanyakazi akikisha ela uliyompa kila SKU ndyo iyo iyo. Adi mwsho wa mwezi utapolipwa commissionOk..kuna changamoto gani kwenye hiyo biashara...?
Nipo tegeta kwa ndevu .kama Mpesa peke ake laki na nusuNataka hiyo laini ya Mpesa peke yake bei gani uanauza? Na upo wapi kwa Dar?
Njia gani zinatumika kukabiliana na chuma uleteIyo kazi uaminifu tu kwa mfanyakazi wako kutunza ela. BT kama unafanya mwenyewe akuna changamoto , kama una mtaji kaki 2. Jioni ukifunga lazma ionekane iyo laki 2 . so ukimwajili mfanyakazi akikisha ela uliyompa kila SKU ndyo iyo iyo. Adi mwsho wa mwezi utapolipwa commission
Ndo bei yako ya mwisho?Nipo tegeta kwa ndevu .kama Mpesa peke ake laki na nusu
Mkuu embu niambie kufanya hiyo biashara mtaji wake kima cha chini ni sh ngap?Pata kibanda cha Mpesa kwa bei raisi, pia line za Mpesa zipo na kama ujue kufanya biashara hii nitakufundisha vzuri. Kibanda ni TSh. 150,000 na line za Mpesa na airtel ntakupatia zote kwa Tsh.250,000. Karibu na wewe ufaidike na kujiajiri.View attachment 419747View attachment 419748
Acha imani izo. Mwamini Mungu tu.Njia gani zinatumika kukabiliana na chuma ulete
NdyoNdo bei yako ya mwisho?
Laki 2 au 2 na nusu. Inatosha kuanziaMkuu embu niambie kufanya hiyo biashara mtaji wake kima cha chini ni sh ngap?