-Kibanda kipo katika hali nzuri.
-Ni kikubwa mbali na Tigo na Mpesa unaweza kuuza bidhaa nyingine ndani kwa ukubwa wake.
-Chuma tupu juu kina bati.
Kinahamishika kirahisi na carry.
Kipo MWENGE MPAKANI DAR ES SALAAM.
BEI NI LAKI 6
-..hii haina kulipa kodi kila mwezi unakitega njiani au location utayoipenda unapiga mishe ukiupgrade unauza.