Manyerere Jackton
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 2,438
- 4,465
Mzee wa Kwembe Kati wewe huko salama? Maana mwenzako akinyolewa wewe tia maji.Nakupeni pole wanahabari na wapenda amani wote wa Tanzania
hata mimi nashangaa kwa sababu wakenya wamerudi kwao kupiga kura.Mi mpaka sasa hivi hata sielewi ni nani waliofanya kitendo hicho. Tusubiri polisi wafanye uchunguzi.
hata mimi nashangaa kwa sababu wakenya wamerudi kwao kupiga kura.
Lazima watapata tu wa kumsingizia eg Uganda, Burundi, Rwanda.hata mimi nashangaa kwa sababu wakenya wamerudi kwao kupiga kura.
Mzee wa Kwembe Kati wewe huko salama? Maana mwenzako akinyolewa wewe tia maji.Nakupeni pole wanahabari na wapenda amani wote wa Tanzainia
Mhariri Mtendaji wa Habari Corporation, Absalom Kibanda, kwa sasa yuko Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, akipelekwa Afrika Kusini kwa matibabu.
Ndege imekodiwa na mwajiri wake. Hali yake si nzuri.
Tuungane kumwomba Mungu amjalie apone-arejee salama.