Kibamba: Mwanasheria CCM anatapatapa


Na kama ni kufuta futa tu basi na kanisa la Zacharia Kakobe kiongozi wa dini la FULL GOSPEL BIBLE FELLOSHIP CHURCH (FGBFC) lifutwe kabisa kwa msajili kwa sababu kiongozi wake amejihusisha na mambo ya siasa!!

Aisee CCM wana kazi pevu kwelikweli ya ku - divert akili za watu zielekee kwao kwa lengo la kurejesha heshima na kupendwa kwa chama chao. Kwa sababu, this is too much kama watu wanaweza hata kuanza kudanganya watu mchana kweupe kwa hoja zisizo na kichwa wala miguu, then next itakuwa ni kuua kwa lengo la kutisha na kuwanyazisha wote wanawaona wanawapinga eti kwa sbb tu wao wana dola!!
 
Godwin Kunambi eti leo mwanasheria wa CCM! kijana mdogo kwa umri 2008 tu kamaliza form six leo kasahua wajibu wake kama kijana anakula na mafisadi kisa babu yake alikuwa mmoja wa waasisi wa TANU!
 
...bado naangalia kwa kibano hiki maccm yatatokea dirisha gani tulizibe yafe kwa kukosa hewa...
 
Kauli ya mwanasheria ni sahihi kabisa. Kibamba aanzishe chama cha siasa au jukwaa la katiba liwe chama cha siasa. Aache usanii
Wewe utaanzisha lini cha kwako... Au utaendelea kikililia hiki hata kama udini ulioufuata utavunjwa?
 
kakobe hafungiwi atakamatwa kwa wizi wa pesa. na utapeli wake wa kuponyesha viwete
 
Zamani kila NGO ilikuwa inaunga mawazo na fikra za CCM. Hata BWAKATA, CCT, TEC, na hata madhahebu ya dini mojamoja ilikuwa lazima kuunga mkono CCM! Fikra yoyote huru kimyume na na CCM ilikuwa sawa na uhaini! Mtazamo huo bado unawatesa watu fulani ambao hawajui kuwa kilishakucha na sasa tunaishi siku mpya tofauti na jana!
 
Kwenye suala la katiba kikwete ana watu wachache sana ndani ya ccm wanaomuunga mkono, wengi wana mpango wa kumvurugia zaidi, mifano ni Ag werema, wasira na Lukuvi! Support kubwa zaidi iko kwa wapinzani zaidi kuliko washauri wake..
 
Kibamba kama angekuwa anawaunga CCM kama ilivyotokea kwa balozi wa China nadhani ingekuwa shwari tu, kuna wengine watakuja na uzi wa kumwambia Kakobe aachane na siasa aendelee na dini bila kutambua hata yeye ni Mtanzania ana haki zake

si wanatumia ule msemo unaosema 'mkuki kwa ngurue...'
Kakobe ni miongoni mwa great-thinkers, kashawaambia, bila katiba nzuri hata huo tunaoita uhuru wa kuabudu utakuwa mashakani.

Thats true, Katiba ni ya watanzania wote ila kuna wachache wanaleta ulafi hadi kwenye katiba na sidhani kama watakuwa salama wakiendelea hivyo!
Tanzania kwanza vyama baadae
 
kuna wakati wabunge wa upinzani wakitoka nje huwa natamani alshabaab wafanye mambo pale bungeni ili watufagilie ule uchafu.
 
mkuu mm nilikuwa nazungumzia asasi kwa ujumlaa wake zinafanya political movement...ila tupo pamoja mkuu
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…