Kibamba: Mwanasheria CCM anatapatapa

Kibamba ana msimamo thabiti....
 
Kibamba akamatwe na polisi kwa kuvunja katiba ya nchi

"Watanzania Hatuna njia ya kuepuka Kuwa wanasiasa kwa sababu siasa ndicho
kiwanda cha kutengeneza Matatizo yanayotufanya tuongee Siasa."


My Take,
Kimbamba tunakupa Go ahead sisi watanzania tuliochoshwa na utawala dhalimu wa maccm.
 
Hivi miccm haina msomi hata mmoja ayafundishe maccm maana ya katiba na uhusiano na siasa?
 
Kwa nini lakini Mwanasheria wa CCM asiende mahakamani kushitaki Jukwaa la Katiba badala yake anaenda kulialia ITV?
 

Kama Serikali ya CCM ilivyoanzisha Baraza la Kiislam BAKWATA ili kuwanyonya!! Vp msilivunje!?
 
Swali la ufahamu: hivi JUKWAA LA KATIBA limesajiliwa? na kama limesajiliwa, limesajiliwa wapi na kwa sheria gani?
 
Kwa nini lakini Mwanasheria wa CCM asiende mahakamani kushitaki Jukwaa la Katiba badala yake anaenda kulialia ITV?

nguvu ya umma ijue ; kama tulivyojua halfu polisi itekeleze wajibu. kesha toa tahadhari inatosha
 
ni vema kibamba akaanzisha chama cha siasa kuliko kufanya siasa kwa ktumia vyama vingine.
 
tuhuma za kibamba za ufisadi na kutumiwa na wanasiasa ni vema akachunguzwa mapema huyu mtu ni hatari kwa usala wa taifa hili yupo tayali kuuza taifa kwa tamaa ya pesa.
 
Mshaurini Kunambi aende school of law kwanza
 
tuhuma za kibamba za ufisadi na kutumiwa na wanasiasa ni vema akachunguzwa mapema huyu mtu ni hatari kwa usala wa taifa hili yupo tayali kuuza taifa kwa tamaa ya pesa.

anamzidi kinana?kwa tamaa au ya kinana huyaona mnafiki mkubwa we!
 
kauli ina ukweli ndani yake asasa za kiraia zinafanya political movement...na watu wanatafuta umaarufu kupitia izo asasi zenu
 


Nyie magamba nia yenu ni kuwakandamiza wananchi kwa kila njia hivyo mtu kama KIBAMBA anayeonesha njia ya wananchi kujitambua kwa kuwa na KATIBA shirikishi hamuwezi kumpenda kwani anawanyang'anya kitumbua chenu!! Hayo mawazo juu ya KATIBA yangekuwa yametolewa na wachumia tumbo kama wakina MUKANDALA na Redet yao wala msingesikia kelele za kuvunja katiba na kuwataka mapolisi kuwakamata !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…