Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 7,685
- 12,319
Yes, Tanga mkuu.
Mtaa gani huo?Yes, Tanga mkuu.
Inashangaza sana wengine wanakisiwa chini wengine juu,wengine wanaachwa sielewi kwakweli!!
Ulisha jaribu na kuona inachukua Muda gani? Na Russa kiasi gani?Kuna utaratibu wa kupata kibali cha ujenzi kwenye eneo ambalo halijapimwa. Peleka
1.vielelezo vya mauziano ya kiwanja kutoka serikali za mitaa
2.mchoro wa unachojenga ambatanisha na form za maombi utapata kibali cha ujenzi
Kama nimeshajenga miaka 10 nyuma ila ninepata pesa kidogo nataka kuendeleza hata plasta vyumba viwili je hapo kunahitaji kibali?na je vp kama naishi humohumo kwenye nyumba ambayo haina kibali cha ujenzi?Nenda manispaa ya sehemu husika, ukifika pale utapewa fomu za kujaza ili ueleze nyumba yako ni mfuto au ghorofa
Fomu utasaini kwa Mwenyekiti wa serikali ya mtaa, then diwani then afisa tarafa, wakisaini hao wote unarudi tena manispaa pale unakutana na town planner anachukua GPS mnaenda nae site kwako,
Mkifika site utamuonyesha mipaka ya kiwanja chako na majirani zako then atachukua coordinate, mtarudi tena manispaa then ataingiza zile data ktk computer kuangalia kama eneo lako liliandaliwa kwa ajili ya ujenzi wa Makazi, viwanda , biashara , barabara n.k,
Kama ni eneo la Makazi itakua nafuu kwako watakusainia then utaenda idara ya ujenzi ili upewe kibali, ili upate kibali unapaswa uwe na mchoro wa nyumba yako na ipigwe muhuri,
Sent using Jamii Forums mobile app
Wahindi waliacha kujenga baada ya sheria ya utaifishaji wa majengo ya mwaka 1971 ambapo nyumba zote zenye thamani ya zaidi ya shilingi 100,000/= wakati huo zilitaifishwa. Hivyo kama ulikuwa na nyumba zaidi ya moja uliachiwa moja tu kwa ajili ya familia na nyingine kutaifishwa. Inasemekana familia ya Karimjee walipoteza zaidi ya nyumba 100 kwa Dar es salam pekee.Hivi wahindi mbona ni mabilionea na hawajenga?
Niko kwenye process.Ulisha jaribu na kuona inachukua Muda gani? Na Russa kiasi gani?
Kila mtu anataka kibali ila hawa ma fisi wanatukwamisha ndio maana tunajijengea tu. Jiulize kwa mwaka Jana mzima. Jiji au wizara imepima na kuuza viwanja vingapi ?
Remember. Nature abhors a vacuum
ShindwaNiko kwenye process.
Nishindwe ili iweje?Shindwa
Huko wizarani wakiona ni eneo la makazi watakupa nyaraka gani ili uitumie kama uthibitisho kutoka kwao na hivyo kuendelea na huo mchakato wa kupata kibali cha ujenzi kule manispaa ulikoanzia?Kama town planner wa manispaa kashindwa kuona katika mchoro wa manispaa basi zile coordinates peleka wizara ya ardhi then wao watakuambia lile eneo ni eneo la Makazi ama laa
Sent using Jamii Forums mobile app