Kibali cha uhamisho

Kibali cha uhamisho

Ganaz Sc

Member
Joined
Mar 15, 2015
Posts
24
Reaction score
2
msaada tafadhali, hiv kbali cha uhamisho kutoka kwa katbu mkuu-utumishi hutumwa kwa njia ipi (n posta au) na je huchuchua muda gani hadi kufka? maana mm kbal cha uhamisho kltumwa kwa mwajir wangu huku tanga yapata mwez sasa bado hakijafika had sasa
 
Muulize bosi wako kama kimefika, kama bado wasiliana na aliyekituma.
 
Acha ujinga nenda tamisemi
Mjinga ni yupi? Wanaohamishwa na TAMISEMI ni watumishi wa Serikali za mitaa zilizochini ya DED/TD/CD, mtumishi wa serikali Kuu waliochini ya RAS huhamishwa na OR - Utumishi.

Moral tumia lugha nzuri, ona sasa kumbe nawe umechemka
 
Back
Top Bottom