Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,317
Yaani pastor acha tu, huyu shule kaenda ila kabla ya BRN, kwa sasa atajua tu kupitia jf, ha hah ahaha.
Nifanyie mpango ongea na mwajay kuna tuisheni huku, ila aje na daftari ya mwandiko yenye mistari midogo na mikubwa, si unazijua zile daftari????????.
ukitaka kujuwa jinzi ya kupatwa kibali cha kuhuwa wanyama pori wa porini mwambie kaka haje makaho makuhu ya mali hasili ya hasili hili haruhusiwe kuwinda mwevzi hunaojao.nawawas.
Mpenzi Apologise lady yaani mi sielewi shule aliyosoma huyu mwanamke mwenzenu. Ndio maana nakuta mada nyingi hachangii sijui anaogopa kuchekwa!!
ha ha ha, wewe nawe mmmh!!!Hahah sijui kama utaweza, MM ana dili la wanyama pori sijui wanauhusiano gani na uchawi??
yaani my sweet mim hainiingii akilini mtu asiejua kuandika akaweza kuingia jf, huyu ajua zaidi lugha ya malkia, hiki kiswaz chetu ndio anajifunza. wacha tuendelee kufurahi sie. mzima wewe, leo maombi wapi pastor?????????? hahahaaa
Nahushukulu hukohongozi wa jamii folaram kwa kusaisha mwandiko wangu hasante. Nimipata jawabu nimomunamambaia kaka yuki.