...Kibaki one wife declaration...

ni kweli dear huyu mama anajichosha bure ...mimi huwa nashangaa sana mwanamke anaeachana na mume wake kisa alitembea nje ya ndoa ,au ana kimada... Ukiangalia hupati faida yoyote...kuna mambo mengi ya kumrate mumeo kabla ya kumuacha.....sio kwamba napinga swala la uaminifu ila akili inahitajika sana ..utakuta unafaidisha watu wengine bure...
 
Ha ha haa...hii ilikuwa kali, now I baptize Mama Lucy Kibaki as 'Mwanamke wa Shoka'! Sijui kama kuna mwanamke mwingine duniani aliyepata kumbana mumewe aseme hivi 'publicly'!
 
Duh, kwa jinsi anavyohema Lucy, inaonekana kulikua na mtafaruku huko ndani, na huenda akatoa options mbili..... ama atangazwe kama wife pekee, au divorce....it's comedy when I see a strong man dancing to the tunes of his wife!
 
dada mkubwa AshaDii i respect you a lot my dearest!!!
umesema point sana kwenye post yako hapo juu but to add a lito naomba niseme kwamba hata kama ije nini na dhoruba ya aina gani basi mume na aheshimiwe popote pale. sioni kwanini mtu unashindwa kumstiri mumeo hasa lijapo swala la kumdhalilisha kama hili.

siwez hata siku moja nikaona kuna credibility mtu kukaa na kuanika uovu wa mumewe hadharani ama kutaka kuutangazia umma jins ambavyo wewe mwanamke unaweza kumuadabisha mumeo. kwangu mimi kila kosa la mwanaume nalichukulia ni la kibinaadamu na wala sitohitaj kuanza kupambana nae la nitamstiri hata pale maji yanapotaka kuzidi unga.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…