KIBAHA wanaitaka CHADEMA, hawamtaki MCHANGE...


Una uhakika alipokea mamilioni ya Koka? au wewe ndiwe ulikuwa sekretari wake?. Acha majungu
.
"Ama kweli CHADEMA NI SAWA NA NG'OMBE ASIYE NA BEI SOKONI".
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
2lieni wana jf, kibaha ataletwa kamanda wa ukweli, kuliko kuendelea na jazba. Bt vuta nkuvute kk una hoja na unaijua kbh, vuta subira. CDM itachukua majimbo yote 2 kbh.
 

Duu!. Hawa Chadema naona sasa wamefuzu kwa kutoa rushwa ndio zao. halafu kwa kupigia kelele wengine nao ndio zao. Kaaaaazi kweli.
 
Una uhakika alipokea mamilioni ya Koka? au wewe ndiwe ulikuwa sekretari wake?. Acha majungu
.
"Ama kweli CHADEMA NI SAWA NA NG'OMBE ASIYE NA BEI SOKONI".
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

Una akili wewe. Upo sahihi 100% Hata yule Jaji wa segerea analijua hili.
 
Mkuu nadhani ungesomeka vizuri kama ungesema mie simtaki MCHANGE, wewe ni nani Kibaha mpaka wakazi wote wakutume uje kuwasemea JF...punguza majungu mkuu.

ritz ni wewe? Ahsante kuhamia ktk winning team.kuhusu mada,huyu ni gamba aliyeona mchange tishio kibaha mjini uchaguzi ujao.hata hapa kwe2 Lema alizushiwa hivi 2005 ili 2simpitishe ila hatukuwasikiliza magamba.
 
Tatizo la Habibu ni huo Uislamu wake acheni kuzunguka mbuyu
 



Wana JF,
Nadhani nimekuwa muungwana kiasi cha kutosha na kwa hili napenda sasa kumwaga mboga na ugali kabisaa ili iwe fundisho kwa huyu mleta thread lakini pia kwa wengine wenye mawazo finyu na majungu kama huyu bwana mdogo.

Kwa muda sasa huyu kijana amekuwa akileta maulalamishi ambayo hayana msingi zaidi ya majungu tu, na ndio maana anatumia ma ID ya ajabu ajabu na avata zisizoeleweka, na zenye kila tafsiri ya ugomvi.

Mimi leo nammwaga kama alivyo kulingana na intelijensia niliyokusanya hii ikiwa ni pamoja na kuwasiliana moja kwa moja na wapenda amani na maendeleo ya uwazi huko Tabora mjini ambako huyu jamaa anatoka, sisi tunasema leo mwisho wa ID hii maana kila mtu atamfahamu.

VUTA-NKUVUTE ni kijana mmoja chipukizi tu anaitwa Sylvester Kijigo huyu ni Muha wa Kigoma, baba mama wote Waha wa Kigoma, lakini aliishi muda mwingi wa utoto wake huko Tabora mjini eneo moja linaitwa Cheyo B, kulingana na mtoa taarifa wangu, huyu kijana anao ndugu watatu wawili wanawake na mmoja Dickson kaka yake mkubwa. Katika familia yao, huyu kijana amerithi ugulugulu ama ukorofi wa baba yake na ukaidi wa mama yake hivyo kumfanya kuwa mtu wa ajabu kabisa, fikiri leo hii sina shaka kwamba ni kweli anasoma degree sijui ya nini hata huko Instambul, yaani katika vyuo vyote Tanzania, Kenya Uganda, S Africa, na kwingineko yeye hajaona isipokuwa uarabuni, ni jambo la ajabu sana.

Katika maisha yake huyu Sylvester Kijigo hakuwa na marafiki wengi kwa sababu ya ukorofi na ubishi na mtaungana nami kwamba tabia hii kakuwa nayo na hadi kujiingiza Chadema akidhani Mageuzi ama Mapambano na kudai demokrasia ni ubishi, ugomvi, majungu ama kiburi. Angalia alivyo kiherehere na kimbelembele kwa yasiyo mhusu. Umri wake si zaidi ya miaka 23 lakini anayoyasema ni ajabu sana. Kama yuko umbali wa maili elfu moja akisomea kiarabu sasa yanamhusu nini ya huku? Hapa ndio utaona matata hapa. Sote tumemshuhudia Sylvester Kijigo akijiingiza kwenye mstari wa mbele mahali ambako watu hubaki kumshangaa tu kwa kuwa halingani wala hajui wenzie wanafanya vipi siasa. Huwezi kutokea Tabora halafu huna lolote katika uongozi katika chama ukaishia kupiga makelele umbali wote huo, basi bora angesema ya wao Tabora kuishia kumpa ubunge CCM anaishia kuyasema ya Kibaha asiyoyajua. Hii ni ajabu na kijana huyu anapaswa kulaaniwa kwa kuwa hata nyumbani kwao alishafukuzwa na baba yake miaka ya 1999 kwa sababu alizidisha upuuzi. Kama mzazi wake kamshindwa sidhani tutamuweza sie, lakini tutamuanika ili aibu impate. Ushauri ni mmoja tu kwamba kijana kuwa na busara.

Hata ukisema kuwa Mchange hatakiwi Kibaha, sawa hatakiwi. Sasa maneno mengi ya nini, Je humu JF ndio CC ya Chadema, ama humu ndio sehemu wana Kibaha wanaiamini kwa kupata habari kuhusu maendeleo yao? Mbona mema aliyoyafanya Mchange husemi? Wewe umefanya mangapi zaidi ya kwenda kusomea kiarabu huko Istambul, potelea mbali hata nikipigwa ban, ukweli ntakuwa nishakupasulia, hufai kabisa wewe. Kama unadhani unao ushahidi wa rushwa na ubunge wa Mchange upeleke Chadema sasa, ama nenda TAKUKURU, wewe si unawapenda watu wa Kibaha, ama huamini hata uongozi wa Chadema ama Takukuru? Usipende kukaanga mbuyu usizoweza kula, sasa ushajulikana aibu kwako!

Katika uchaguzi wa 2010 wote mlimuona kiherehere chake, huko Igunga pia mliona, sasa anatoka kivingine, full majungu, sio vizuri.

Mwisho nichukuwe fursa hii mimi Kambikatoto Ufulenze kukutakia masomo mema na kukuomba usome kwa bidii ili uje uwakomboe wadogo zako wale wa kike wawili nasikia yule mdogo wa mwisho, hataki shule anataka kuolewa.

Ni mimi nduguyenu,
Kambikatoto Ufulenze.
 
Thibitisha maneno yako kama ni kweli otherwise ni majungu FM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…