July Fourth
JF-Expert Member
- May 2, 2012
- 2,240
- 795
Naona bado twakosa kosa magoli pale langoni kama vile cazorla
Mkuu yakitimia hayo nitakuwa ni mtu mwenye furaha kuliko wewe maana baada ya kile kichapo kukishuhudia kwa macho yangu sikuweza kupata usingizi wa maana kwa muda wa siku 3 mfululizo, kila nikilala nilikuwa nawaona Barthez na Manula wakiokota mipira nyuma ya goli letu. Tangu nimezaliwa nilikuwa sijakutana na kipigo cha 7-0 kwa timu ninayoipenda na ninayoishabikia. Mikia walipotupiga 5-0 walijidai sana kumbe kuna wanaume wanpiga 7-0!
...Somalia iko nafasi ya mia mbili sijui na ngapi uko; vitu vingine bora kukaa kimya tu...