Sikubaliana kwamba Simba Sports club ilistahili kuachiwa ili kupata point 6 kutoka kwa Kagera timu inayofundishwa na mchezaji na kocha wa zamani wa Simba Abdallah Kibadeni "mputa+ lakini nakubaliana kwamba Kibadeni amechangia kuibana Simba na kuichanganya na kuinyima ushindi wa moja kwa moja... kuna kauli alizokuwa anatoa hii ni dhahiri kwamba alinuia na kukusudia .... maana anaibania Simba alidai eti yuko kazini wakati huo huo anaboronga akikutana na timu kama JKT Ruvu na Ruvu shooting......ziko timu kama Toto wao mbaya wao ni Simba tu lakini lwingine ni uchochoro..........