Kuna mtoto wangu wa kiume anamiaka 5, huwa anaoshwa sasa mwezi jana alikuwa na birthdate yake, nashangaa usiku huo kaja kaniambia dady sitaki kuoshwa na mtu mimi mkubwa sasa, nikamkubalia na mm nikamwambia nataka nione unavyojiogesha mwenyewe. Alipoenda kuoga nikamwangalia, nikamuuliza ulijulia wapi kuoga mwenyewe akadai eti huwa anaona kwenye tv nikashangaa sana.