ubongokid
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 2,457
- 4,792
Ni tafakuri ya kina,Nawaza na kuwazua
Nawashangaa dada zangu,kushangaa kiba100
yaliyowasibu nini,mpaka msitosheke
Ukiona kiba100,ujue ushachakaa
Najua mnatambua,kiba100 sio tija
Utamu uko kwa nje,kwa ndani ni makeke tu,
Ukitaka mtalimbo,ujue unachakazwa
Jivunie kiba100,utamu uko kwa nje
Wengi wenu mnadai,eti kidume mashine
Mbona wengi marijali,ndio wenye viba100
Waliojaliwa mashine,wengi wao sirijali
Ukiona kiba100,ujue ushachakazwa
Wengine mna makobo,kwenu zote viba100
sasa tuwafanye nini,au tutie na ngumi
Kama mnataka hayo,basi semeni kwa uwazi
Jibuni enyi warembo,msiokuwa na haya
Wembamba wa reli si tija,unavuta tani zote;
yanini kushusha hadhi,na hayo yenu makopo
kama mmeshachakazwa,tunzeni zenu heshima
Ukiona kiba100 ujue ushachakazwa
Wenye povu mlitoe,ukweli nimewapasha
Yangu bado sijapima,ila wangu yamtosha
Mods nawasihi sana,metumia tafsida
Ukiona kiba100 ujue ushachakazwa
Wahenga walishema,mwana kuwa uyaone,
Sasa nimeshafika umri,Na bado sijayaona
Nawasihi dada zangu,nyuchi zenu mzitunze
Ukiona kibamia,Ujue ushachakazwa
Tamati nimefikia,heshima yenu mlinde
Acheni kuiga mambo,mtajajuta jamani
Usafi na utulivu,ndio sifa ya membo
Mengine ni mbwembwe nyingi,Wala hazina maana
Nawashangaa dada zangu,kushangaa kiba100
yaliyowasibu nini,mpaka msitosheke
Ukiona kiba100,ujue ushachakaa
Najua mnatambua,kiba100 sio tija
Utamu uko kwa nje,kwa ndani ni makeke tu,
Ukitaka mtalimbo,ujue unachakazwa
Jivunie kiba100,utamu uko kwa nje
Wengi wenu mnadai,eti kidume mashine
Mbona wengi marijali,ndio wenye viba100
Waliojaliwa mashine,wengi wao sirijali
Ukiona kiba100,ujue ushachakazwa
Wengine mna makobo,kwenu zote viba100
sasa tuwafanye nini,au tutie na ngumi
Kama mnataka hayo,basi semeni kwa uwazi
Jibuni enyi warembo,msiokuwa na haya
Wembamba wa reli si tija,unavuta tani zote;
yanini kushusha hadhi,na hayo yenu makopo
kama mmeshachakazwa,tunzeni zenu heshima
Ukiona kiba100 ujue ushachakazwa
Wenye povu mlitoe,ukweli nimewapasha
Yangu bado sijapima,ila wangu yamtosha
Mods nawasihi sana,metumia tafsida
Ukiona kiba100 ujue ushachakazwa
Wahenga walishema,mwana kuwa uyaone,
Sasa nimeshafika umri,Na bado sijayaona
Nawasihi dada zangu,nyuchi zenu mzitunze
Ukiona kibamia,Ujue ushachakazwa
Tamati nimefikia,heshima yenu mlinde
Acheni kuiga mambo,mtajajuta jamani
Usafi na utulivu,ndio sifa ya membo
Mengine ni mbwembwe nyingi,Wala hazina maana