Tunawapotosha wasanii..
Tunawaaminisha kuwa kilicho bora ni kile kilichotazamwa sana..
Hatuwafanyi wafikiri kwamba ubora unaanzia kwenye kuandika mpaka studio, then kwa director. Huko vevo kuwe ni matokeo tu ya kazi bora...
Inasikitisha sana..
Content ya wimbo haiangaliwi tena
Kamanda bingi na hiyo ndiyo raha ya ushindani...Diamond naye atafute an online diva like Mange ili kumpromote!
Ila mwisho wa siku mziki wa Bongo unafika mbali...regardless ni kiba au mondi!