kiasi halisi cha kusomesha daktari tanzania

phina

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
414
126
nimekuwa nikisikia vyombo vya habari vya nchini na nje ya nchi vikidai ya kuwa kiasi cha kusomesha daktari ni tshs million 100 kwa miaka mitano.

hiyo si kweli kwani kwa mwaka mwanafunzi anachangiwa na serikali kiasi kifuatacho (by approximation)

tuition fees 2,600,000
meals and accomodation 2,000,000 (about 500,000/= per quarter in four quarters)
field work 250,000
research 500,000 (vyuo vingi hufanya research mwaka wa nne tu)
books and stationery 200,000
medical capitation 100,000

total 5,650,000 (per year)
kwa mwaka basi ni kiasi 28,250,000/=

kiasi hutofautiana kati ya vyuo tofauti na mara nyingi wanafunzi walio kwenye vyou private huongezewa ada(deficit amount from what is charged ny the college and what the government pays for the student, which is about 1 million-assuming the student has a means test of 100%)

lakini hata kiasi kikitofautiana kwa kiasi gani.,sioni jinsi ya kupata million 100 kwa hiyo miaka mitano. labda kama kuna kiasi ambacho kinatolewa lakini hakiwafikii wanafunzi!

sasa..vyombo vya habari vinapata wapi hicho kiasi??je wamefanya utafiti wa kina?
 
Back
Top Bottom