Pale mwanzoni ni kama ilikuwa inafanya kazi kwani mfano Ardhi University walioomba Land Management and Valuation priority 1 walikuwa 817 baadaye ilibadilika kuwa 815 hadi leo imekama hapo na University of Dar walioomba BA in Economic walikuwa 220 lakini wakashuka mpaka 158 na mpaka leo wamesimamo hapo,Salsa sijui ila nafiri system imekwama na IT wa TCU sijui wamelala