ashy da don
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 615
- 671
Tatizo lipo kwako tu, machine umeichosha tu inabidi uipigie tizi mambo yawe sawa.. Kiapo cha damu mambo gani, ndo kuapa kwa nani? Shetani au? maana Mungu hua hatetei ujinga siku zote.. kukutanisha damu kuna ishu gani? mbona watu wanapata ajali damu zinachanganyikana, yani kukutanisha damu A na B iwe na nguvu ya ajabu ndani yake? labda ka waliifanya kwa mganga, haha imani za kijinga, mi huyo binti ningemtosa fasta asije kuniroga siku moja, na mi ntatoa damu yangu hospitalini, atakayewekewa siku akichakachua awe mwekundu.
nmekuelew mkuu ila kuhucu kupga tizi npo vzur napga sana tizi na nina pumzi ya kutosha tu.i hali imentokea kwake tu haikuwah kuntokea hapo awal..siamin hayo mambo ila kutokana na jinc ilvyontokea nmebk njia pandaTatizo lipo kwako tu, machine umeichosha tu inabidi uipigie tizi mambo yawe sawa.. Kiapo cha damu mambo gani, ndo kuapa kwa nani? Shetani au? maana Mungu hua hatetei ujinga siku zote.. kukutanisha damu kuna ishu gani? mbona watu wanapata ajali damu zinachanganyikana, yani kukutanisha damu A na B iwe na nguvu ya ajabu ndani yake? labda ka waliifanya kwa mganga, haha imani za kijinga, mi huyo binti ningemtosa fasta asije kuniroga siku moja, na mi ntatoa damu yangu hospitalini, atakayewekewa siku akichakachua awe mwekundu.
Hilo gegedo lako valve zake kushney.
vipi mkuu mbona unagunaMmmmmmhhhhh.....!!!!!
nashukuru kwa mchango wakoNi utoto tu na ngono za utotoni ndivyo vinavyowasumbueni.
Ana kama 20 hivi mkuu..inweza kuwa kweli imetokana na hofu.umeongea kitu cha muhimu sana broh kiapo cha ndoa kinaapwa mbele ya nyumba ya ibada na bado watu wanacheat kama kawaida..Dogo Ashley hiyo inatokana na hofu, kwani galofrendi wako anaumri gani manaake kama kiapo basi ni cha ndoa tu kinacho dumu
Kila kitu kina mara ya kwanza.. hakuna mwanaume robot, mwili wa nyama huu, labda ulikua hata na mahtuko flani before mishe, au umetumia kitu flani huezi jua, ila hicho cha kiapo hata, ingekua kuna kauchawi hapo kwa nini ikuaffect wewe, kwani we uliweka kiapo? hiyo si ingemdaka yeye tu, we ungepiga raha zako yeye angebaki hajaridhika.. hadi second round afu unasema kuna kauchawi hapo! hakunanmekuelew mkuu ila kuhucu kupga tizi npo vzur napga sana tizi na nina pumzi ya kutosha tu.i hali imentokea kwake tu haikuwah kuntokea hapo awal..siamin hayo mambo ila kutokana na jinc ilvyontokea nmebk njia panda
Kila kitu kina mara ya kwanza.. hakuna mwanaume robot, mwili wa nyama huu, labda ulikua hata na mahtuko flani before mishe, au umetumia kitu flani huezi jua, ila hicho cha kiapo hata, ingekua kuna kauchawi hapo kwa nini ikuaffect wewe, kwani we uliweka kiapo? hiyo si ingemdaka yeye tu, we ungepiga raha zako yeye angebaki hajaridhika.. hadi second round afu unasema kuna kauchawi hapo! hakuna