Now days wamekuwa so restricted sana.Youtube wametangaza masharti mapya, ili uweze kutengeneza hela na video za YouTube (monetize) inabidi uwe na Subscribers si chini ya 1,000 na watch hours 4,000 katika siku 365 zilizopita
Kwa channel ambazo teyari zipo monetized wana hadi February 20 kujiweka sawa na masharti haya.
Sharti la sasa hivi ni uwe na 10,000 views tu.
Link: YouTube Creator Blog: Additional Changes to the YouTube Partner Program (YPP) to Better Protect Creators
Inawezekana bro kupata sub 300 perday sema tu vipo vitu ambavyo ni ladhima uzingatie kama tags, language, descriptio na tittle, hii kama huwa hushare katka magroupSubscriber 300 kwa siku sio kitu rahisi mzee hasa kwa channel zenye original content sio kurepost video za watu tu.
Unapost original content au viral video hizi hizi anazopost kila mtu? Of coz kama unapost video za Diamond na Wema unaweza kupata 300 per day ila kwa mfano kuna watu wanatoa video za tutorial ambazo hazifuatwi na watu wengi.Inawezekana bro kupata sub 300 perday sema tu vipo vitu ambavyo ni ladhima uzingatie kama tags, language, descriptio na tittle, hii kama huwa hushare katka magroup
Lakin lingine kama una youtube channel ili ikuwe halaka ni ladha uwe na fanbase kubwa hasa fb mfano jitahidi kuwa na group au page. Promote page yako iwe na fans wengi hapo youtube channel yako itakuwa kama mchezo
Mimi sikuanza na youtube channel nilianza na fb page nikaja blog na sasa youtube channel natumia blog na fb page kupromote channel yangu
I know si kazi rahisi ila ni kuvumilia tu
Ngoja tuikingie baharini tukavue samaki!Sawa Wazee wa Janja Janja itakula kwao.