Kiama cha Russia, Ukraine Kurejesha Jimbo lake la Crimea

Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
14,709
11,747
1b831114-4450-47a0-9939-41981940fe4d.jpg

Kiev is preparing a special military unit in a bid to retake Crimea, the Ukrainian premier says.

“We are working on a project that will prepare us to regain Crimea,” said Arsen Avakov, RT reported on Saturday.

Crimea declared independence from Ukraine on March 17, 2014 and formally applied to become part of Russia following a referendum a day earlier, in which 96.8 percent of participants voted in favor of the secession.

“We have nothing. We need a new army, a new National Guard, a new police force. This is what the government of Ukraine is working on right now. We must restore all of this, and then, with enough will, Crimea will be ours,” added Avakov, insisting “I have no doubt of that.”

He further stated that Kiev is currently training a separate special force within the Ukrainian National Guard.

Crimean officials, meanwhile, reacted strongly to the remarks by the Ukrainian minister emphasizing that an invasion would be repelled.

This is while Ukrainian President Petro Poroshenko (pictured below) commissioned the country’s defense ministry and the General Staff of the Armed Forces on Friday to draft plans to reinforce the border between Ukraine and Crimea.

“The Defense Ministry and the General Staff of the Ukrainian Armed Forces have been told to submit proposals on a considerable buildup of Ukraine’s defense capabilities in the Kherson region and along the entire Black Sea coast,” said a statement issues by the presidential press service.

The main objective of the plan is to counter the Russian army’s surging capabilities in Crimea, according to the Ukrainian Western-backed president.

Crimean authorities have dismissed Kiev’s latest military threats as a bid to “justify increasing defense expenditures in Ukraine.”

The development came a day after the chiefs of top US spy agencies predicted persisting upheavals in Ukraine during testimonies before the House of Representatives Intelligence Committee.

Head of US National Intelligence James Clapper alleged that Russia still views Ukraine as "Little Russia," adding that Moscow "will continue, I think, to be a proxy for separatists to sustain their interests in Ukraine."

CIA Director John Brennan also stated that there is "still uncertainty about how the Russians themselves are going to extricate themselves" from the Ukraine conflict.

Washington and Moscow have persistently been trading allegations about each other’s extent of involvement in the crisis with Russia fiercely rejecting a military role in the conflict while accusing the US of leading a growing Western military presence close to its borders.

Source: PressTV
 
Kule Mtwara, kuna watu walitaka wajitenge Tz na kujiunga na Msumbiji. Nadhani Ukraine ina haki yake kwenye jimbo la Crimea, la sivyo itakuwa ni fujo. Ukiwa na nguvu tu unamega kipande cha nchi jirani.
 
Hizo ni mbwembwe za Porky raisi wa Ukraine kwani uchumi umedorora sana na kuna maandamano kila siku kupinga ufisadi uliokithiri nchini humo.hivi juzi juzi tu palikuwa na kura bungeni kwao ya kutokuwa na Iman na waziri mkuu Yats pamoja na timu yake ambapo waliponea chupuchupu .lakini pia waweza linganisha uwezo wa kijeshi wa Urusi na hiyo Ukraine
 
bora tu wauchune kbisa wasije wakasabiba balaa maan bado kuna majimbo ambayo yanatakia yawepo urusi sasa inaweza ikawa ndo mwanzo wa kuibuka waasi wengine kutak kujiteng
 
Russia soon itafirisika vita huwa hamuachi mtu tajiri na mbabe
 
That will never happen, Russia is not ready to lose Crimea at any cost . And it absurd to believe Ukraine can stand against the might Russia.
Crimea, Sevastopol port is only port in Russia that's is navigable in all weather. Also the port is home to Russian black Sea fleet... The port docks biggest Nuclear powered submarines & destroyers.. Crimea is second after kaliningrad strategic important regions to Russian geopolitical interests.
Also Sevastopol is center of dolphin combat training and base since ww2. For the sake of her security, Russia won't let Crimea fall under pro western Kiev government.
 
Unawajua warusi au huwa unawasikia tu?
Wewe Upo Bongo unauliza watu wa Bongo umeshindwa kusoma nini kimeandikwa.... jama wanajiandaa kuirejesha katia umiliki wao..... na usifikiri Dunia itanyamaza kama maji ya mtungi... jimbo ni lao Russia walitumia trick kulichukua... sababu raia wao wa zamani waliohamia jimbo hilo kuishi kwa wingi na kunua maeneo makubwa na most of them ni rich people but kiprotocal ni mali ya Ukraine tu.... its same na Zanzibar waarabu wakiwa wengi na Oman ikiwaambia waitishe kura kuwa Zanzibar ijitenge na Tanganyika iwe itawaliwe na Oman... na watu wapige kura Tanzanyika ipinge and then Kura ziwe nyingi kwa Oman na Oman Atangaze Zanzibar ni Jimbo lake... Tanganyika atulie tu kisa Oman ni Nchi Tajiri na inauwezo wa kivita zaidi ta Tanzania..... Sometimes Vita ni Trick unaweza shinda au ukafanya vita visivyoisha hata kama unaonewa like Saudia na Yemen... Mambo ya Kuuliza swali la Kijinga baki nalo wewe ujijibu
 
kabla ya kumuuonea zaid mwenzako rudi kapitie upya siasa za baltic nations, kinachoelezwa hapo na Ukraine hakiwezi tokea kwani ili kitokee western forces ni lazima waipige tafu ukraine na wote tunajua tafsiri ya hilo ...........watabaki kurusha maneno tu kama hivi
 
Hizo ni mbwembwe za Porky raisi wa Ukraine kwani uchumi umedorora sana na kuna maandamano kila siku kupinga ufisadi uliokithiri nchini humo.hivi juzi juzi tu palikuwa na kura bungeni kwao ya kutokuwa na Iman na waziri mkuu Yats pamoja na timu yake ambapo waliponea chupuchupu .lakini pia waweza linganisha uwezo wa kijeshi wa Urusi na hiyo Ukraine

Hiyo vita ipo na lazima ipiganwe, usidhani kuwa Ukraine ndo itapigana hiyo vita.
Ni marekani na Uingereza ndo zitakuwa nyuma ya hiyo vita.
Na kuna uwezekano vita kuu ya tatu ya dunia ipo mlangoni.
 
kabla ya kumuuonea zaid mwenzako rudi kapitie upya siasa za baltic nations, kinachoelezwa hapo na Ukraine hakiwezi tokea kwani ili kitokee western forces ni lazima waipige tafu ukraine na wote tunajua tafsiri ya hilo ...........watabaki kurusha maneno tu kama hivi
Issue yeyote kabla haijatokea maneno yanakuwa mengi oh huyu hawezi oh yule hadi asaidiwe n.k n.k... so ni mawzo kabla ya vita... mpiganaji ndio anajua wakati muafaka.... simuonei mtu issue zingine zipo wazi... ukisoma vizuri habari hii utaona kuwa Ukraine imekwisha na inajiandaa na kujipanga upya...
 
Wewe Upo Bongo unauliza watu wa Bongo umeshindwa kusoma nini kimeandikwa.... jama wanajiandaa kuirejesha katia umiliki wao..... na usifikiri Dunia itanyamaza kama maji ya mtungi... jimbo ni lao Russia walitumia trick kulichukua... sababu raia wao wa zamani waliohamia jimbo hilo kuishi kwa wingi na kunua maeneo makubwa na most of them ni rich people but kiprotocal ni mali ya Ukraine tu.... its same na Zanzibar waarabu wakiwa wengi na Oman ikiwaambia waitishe kura kuwa Zanzibar ijitenge na Tanganyika iwe itawaliwe na Oman... na watu wapige kura Tanzanyika ipinge and then Kura ziwe nyingi kwa Oman na Oman Atangaze Zanzibar ni Jimbo lake... Tanganyika atulie tu kisa Oman ni Nchi Tajiri na inauwezo wa kivita zaidi ta Tanzania..... Sometimes Vita ni Trick unaweza shinda au ukafanya vita visivyoisha hata kama unaonewa like Saudia na Yemen... Mambo ya Kuuliza swali la Kijinga baki nalo wewe ujijibu

Umemjibu vizuri Sana huyo mlevi.
hajui kuwa Ukraine ni Kama chambo tu, lakini hiyo vita itapiganwa na marekani, Uingereza na allies wao, lengo lao ni kumbomoa urusi na kumfanya aione syria chungu.
 
Hiyo vita ipo na lazima ipiganwe, usidhani kuwa Ukraine ndo itapigana hiyo vita.
Ni marekani na Uingereza ndo zitakuwa nyuma ya hiyo vita.
Na kuna uwezekano vita kuu ya tatu ya dunia ipo mlangoni.
haina economic gain kwa mataifa hayo mawili kwa sasa, so siitegemei hilo likitokea maana kwa vyovyote ndio watakuwa wanamuchia mchina akipepea wao wakiwa busy na hii vita; walikuwa na nafasi nzuri ya kusaidia wakati crimea ikichukuliwa lakini hakuna aliyetoka kuwasaidia Ukraine zaidi ya kauli hii nathubutu kuziita cosmetic; msemapo Ukraine imejiandaa siwaelewi not at these political and economic wooes na jeshi lilokosa morale
 
Kwa hali ya kisiasa inayoendelea Ukraine. Kiev haiwezi toa kitisho dhidi ya Crimea kwa sababu nchi imegawanyika kuna vikundi vinataka kujitenga huku serikali ikishindwa kuvidhibiti, pia mgogoro wa uchumi uliopo baada ya kuwekewa vikwazo vya kiuchumi na Urusi, hususani katika sekta ya nishati kwani Kiev inadaiwa fedha nyingi na urusi.

Kwa hali iliyopo nchini Ukraine ni wazi kuwa hiyo kauli imetoka kutokana na presha za nchi za magharibi ikiongozwa na marekani. na marekani & NATO watamsapoti Ukraine
 
bora tu wauchune kbisa wasije wakasabiba balaa maan bado kuna majimbo ambayo yanatakia yawepo urusi sasa inaweza ikawa ndo mwanzo wa kuibuka waasi wengine kutak kujiteng

Hahahaa Russia ndio nchi kubwa duniani, kamarekani kanabugiwa siju mara ngapi,,

Screenshot_2016-02-29-15-13-13-1.png
 
Title ya thread ilinisisimua kukutana na habari nzito juu ya jinsi hiyo Ukraine ilivyojipanga kuitwaa Crimea. Kuja kusoma contents nakuta porojo tu za Poroshenko.

Crimea ataendelea kuiota tu kwenye ndoto zake za kila siku
 
Back
Top Bottom