Nimeuliza hivyo ili kama kuna majibu ya kitaalamu watu tujuzane maana isije kuwa na madhara kufanya mara nyingi zaidi mathalani tufanye kila siku.
Jambo jingine la ziada ninavyoamini kwa tathmini zangu,ni vigumu hasa kwa wanaume wengi kufanya hilo tendo kila siku japo kuna wachache wapo,hapa namaanisha kwa wanandoa tu.
KARIBUNI TUCHANGIE KWANI KUNA LOLOTE LAWEZA KUWEPO LA KUJIFUNZA.