Khee birthday yangu leo

Khee birthday yangu leo

UKUBWA JALALA JAMAN MAMA KANIPIGIA SIMU AKINIKUMBUSHA LEO NI SIKU YANGU YA KUZALIWA NILIKUWA NIMESHASAHAU
JAPO NIPO KWENYE MFUNGO KIKUBWA PUMZI TU
Sasa birthday yako inakusaidia nini?
Unakumbuka nini wakati hata wakati unazaliwa hukuwa na akili wala hukufanya juhudi zozote kuzaliwa.
 
Hongera. Pia hongera kwa kufungua iD nyingine mpya
Asante but sijawahi kuwa jamii humu wala kuwa na account ndyo maana vitu vinanichanganya in shot mm mgeni humu means new member
 
Back
Top Bottom