Kharkiv inawachanganya wengi

Kharkiv inawachanganya wengi

Narumu newz

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
2,319
Reaction score
4,961
Weng wanashangaa kwa nini Ukraine anadai kuikomboa kharkiv wakati mwanzoni ilifahamika aliukomboa mji wote?
Ni hivi Ukraine hakufanikiwa kuikomboa Kharkov yote , ila sehemu kubwa alifanikiwa,Russia walibaki na maeneo ya kaskazin ambayo ni Izium, Kupiansk, and Balakliia ambayo kwa sasa ndiyo Ukraine ameyatwaa.

The Russian occupation of Kharkiv Oblast is an ongoing military occupation, which began on 24 February 2022, after Russian forces invaded Ukraine and began capturing and occupying parts of Kharkiv Oblast, Ukraine. The capital of the Oblast, Kharkiv, has not been captured by Russian forces; however, other cities including Izium, Kupiansk, and Balakliia were captured by Russian forces. The city of Chuhuiv was initially captured by Russian forces on 25 February, but was recaptured by Ukrainian forces on 7 March.
Military occupation
Flag of Kharkiv military–civilian administration
Flag
Coat of arms of Kharkiv military–civilian administration
Coat of arms
Russian occupation of Kharkiv Oblast.png
 
UKRAINE ni Hatari wamelipua madaraja kherson wakaonesha kua wanaanzia kherson. Russia nayo ika jaa Kherson wahuni wameibukia KHARKIV.

‘’ the war with Moscow started at Crimea Shall ended at Crimea’’
 
..hii vita nimeamua kutoifuatilia.

..nimeshindwa kupata mahali ambapo nitasoma habari za ukweli kuhusu vita hii.
 
Mushtuke ndg zangu, hiyo siyo vita ni mchezo Urusi anaucheza kuwavuruga kwenye uchumi wenu wa nchi mbalimbali duniani.
 
..hii vita nimeamua kutoifuatilia.

..nimeshindwa kupata mahali ambapo nitasoma habari za ukweli kuhusu vita hii.
Yani side 1 Russia na Side 2 NATO alafu upate sehemu yenye habari ya ukweli? We subiri mpaka mwisho wa vita tu ila maneno yatakuwa mengi sana kuliko ata vita zilizoanza miaka ya 1945 huko
 
Weng wanashangaa kwa nini Ukraine anadai kuikomboa kharkiv wakati mwanzoni ilifahamika aliukomboa mji wote?
Ni hivi Ukraine hakufanikiwa kuikomboa Kharkov yote , ila sehemu kubwa alifanikiwa,Russia walibaki na maeneo ya kaskazin ambayo ni Izium, Kupiansk, and Balakliia ambayo kwa sasa ndiyo Ukraine ameyatwaa.

The Russian occupation of Kharkiv Oblast is an ongoing military occupation, which began on 24 February 2022, after Russian forces invaded Ukraine and began capturing and occupying parts of Kharkiv Oblast, Ukraine. The capital of the Oblast, Kharkiv, has not been captured by Russian forces; however, other cities including Izium, Kupiansk, and Balakliia were captured by Russian forces. The city of Chuhuiv was initially captured by Russian forces on 25 February, but was recaptured by Ukrainian forces on 7 March.
Military occupation
Flag of Kharkiv military–civilian administration
Flag
Coat of arms of Kharkiv military–civilian administration
Coat of arms
Russian occupation of Kharkiv Oblast.png
Hii taarifa umeitoa wapi?😆😆😆😆🇷🇺🇷🇺
 
..hii vita nimeamua kutoifuatilia.

..nimeshindwa kupata mahali ambapo nitasoma habari za ukweli kuhusu vita hii.
Objective za vita mara nyingi hua siri, na mara nyingi huja kujulikana baadae saana hata miaka kadhaa baada ya vita kuisha tena baadae unaweza kuja kugundua watu walikua wanachezesha tu kete zao ili kutimiza azma fulani........hasa hiki kipindi cha NWO fatilia tu yanayokuhusu hizi vita kama unashangilia chukulia tu kama unaangalia epl jiburudishe endelea na yako
 
Back
Top Bottom