Khanga party photos

Kama wewe ni mtu wa dini na unaipenda na kuiheshimu dini yako,sema ukweli Daktari Slaa hajachukuwa mke wa Amanuel Chadiel Mahimbo mkazi wa Kimara, Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam?
Tatizo lenu ni kupenda kupita kiasi hata chongo unaona kengeza!Penye ukweli lazima watu wauseme japokuwa kwako na kwa wenzio unawauma(mkiona mnakeleka jitoeni humu jamvini na mkimbilie kule ze ujinga ujinga!)
Kwa taarifa yako na wenzio mwaka mnao,wacha kwanza jamaa warudi ikuru halafu mtawatambua kama vile alivyowatambua Ngawaiya!

Chunga mdomo wako please!
Hapa siyo sehemu ya kuongea ongea ovyo tena mambo yasiyokuwa na maadili!

Mind u siyo lazima uchangie ikiwa huana la kusema waweza kaa kimya.
 
HAYA MAMBO YA KANGA NI HATARI SANA,
YAANI MIMI NIMEKWAMA SANA ACHANA NA HIYO MAMBO..............................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

:yield::hippie::smile::nono::bowl:
 
Izo style za kanyela mumo sijazipenda inakuwa kama mtoto kavaa pampas.
Uvaaji wa khanga nenda uswahilini uko choo cha public mtu katoka kuoga na wala hajajifuta maji anakatiza mbele yako alafu ana kijungu na chupi kaishika mkononi
 
Raha ya mwanamke awe na khanga moja iliyolowana utamuuu wote njee njee

Mkuu tuwekee bac na hizo za Kanga zilizolowa, au katika hayo mashindano hicho kipengele hakikuwepo?, kama hakikuwepo basi washauri hao waandazi wa hiyo show wakiweke hicho kipengele,
 
we pengo, kwani slaa na mkuu wa kaya nani anapenda mademu zaidi. kwa taarifa yako mkuu wa kaya ana watoto hadi hajui idadi yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom