Leo nilikuwa na shida fulani. Nikamuuliza rafiki yangu mmoja anisaidie akasema kuna mdada anaweza kunisaidia. Akanipa namba ya huyo mdada. Hanifahamu wala mimi simfahamu. Jioni hii nikamtext. Conversation ilikuwa kama ifuatavyo:
MIMI: Mambo?
Reply: Poa
MIMI: Upo wapi?
Reply: Kwani we nani?
MIMI: I am ................... I would like to meet you.
Reply: Em niache!
MIMI: Ok fine!You gotta deny the message rather than a call. Good evening!
Wana MMU mnisaidie. Sijaongea chochote ila majibu yalikuwa kama hayo hapo juu.
Nimeboreka. Yaani kaniharibia siku!
Dada kafahy vizuri tu, kuna matapeli wengi wanapata namba za watu na kuanza kuwasunbua. Busara ilikuwa rafiki aliyekupa namba awasiliane na dada na akikubali namba yake itolewe ampe na jina lako halafu upige sio kutuma sms.