Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,764
- 908
Thread ilikuwa nzuri but imeishavamiwa! Duu!Kwani weye upo wapi? Naona BAKWATA hawapo Nachingwea.
Hivi kwanini allah anasubiri usaidizi wa Mwezi? Mimi nilifikiri kuwa Allah hana msaidizi, kumpe mpaka mwezi. Khaaaaaaa

Hivi wewe unajua Uislam kweli au unaleta porojo zako za CCM!

Kwa taarifa yako kesho dunia nzima ni EID kasoro Tanzania tu. Usipotoshe watu hapa JF, hao BAKWATA wako nani kawapa mamlaka ya kuwasemea Waislam wa Tanzania! Ningekujibu zaidi sema hapa sio mahali pake, ebu pitia hii site uone kesho ni siku gani kwa Waislam dunia nzima. www.isna.net

Swali la msingi hapa Iddi ni lini?

mkuu inaelekea upo kiushabiki zaidi i'm a muslim najua ninachokisema hata mimi b4 nilikuwa na mawazo kama yako bt baada ya kumsikiliza vizuri Dr Zakir Naik wa Peace tv kipindi cha 'Ramadhan a date wit dr zakir' ndo nikaelewa hekima ya huu mwezi just pata picha ww nitajiri unafungua kesho na maskini anafungua kesho kutwa je yale mafundisho ya kuoneana huruma na kufurahishana na kusaidiana ktk eid yatatekelezeka try kuperuzi source tofauti uelewe mambo hii dini inaelekeza maisha so there r teachings for every ibadat
Mkuu, ushauri wangu kwako usome vizuri Uislam utauelewa, Uislam sio mawazo ya mtu wala rai, ili kuufahamu Uslam tumeachiwa vitu viwili Quran na Hadith tu, hamna kingine inabidi usome. Kama unafuata maneno ya mtu ndio unafanya reference unakosea mkuu, mimi nakuacha bahati mbaya sipo Tanzania lakini kesho ni EID MUBARAK
Thread ilikuwa nzuri but imeishavamiwa! Duu!

Jamani hawa bakwata mbona hawatangazi mwezi? Mwezi umeonekana mtwara na baadhi ya maeneo ya kusini.....nashindwa kuwaelewa hawa watu nao wameshikwa na magamba tatizo....pumbafu sana hawa

Nyie mmeona ila viongozi hawajaona so sibirini mpaka waseme wao. Swali je kwa aliyeona afanyaje kesho?

Ndio maana wanafanya njama kuhakikisha waislam wanfarakana katika kila jambo hata katika ibada zao.

Zote ni athari za mfumo kristo ila mwisho wake unakuja karibuni.

Ww ndie pumbafu!!!

Chatu, weye hujavamia thread?

Kwani weye upo wapi? Naona BAKWATA hawapo Nachingwea.

Hivi kwanini allah anasubiri usaidizi wa Mwezi? Mimi nilifikiri kuwa Allah hana msaidizi, kumpe mpaka mwezi. Khaaaaaaa

kwanini myster pumvafu?.
Walikuwa wanapata maamuzi kutoka Serikalini wakati wa Nyerere, kwa sasa wanapata kutoka kanisani!
hakuna mkitu kibaya duniani kama chuki, pole sana
Walikuwa wanapata maamuzi kutoka Serikalini wakati wa Nyerere, kwa sasa wanapata kutoka kanisani!

Walikuwa wanapata maamuzi kutoka Serikalini wakati wa Nyerere, kwa sasa wanapata kutoka kanisani!
Hivi wewe unajua Uislam kweli au unaleta porojo zako za CCM!
Kwa taarifa yako kesho dunia nzima ni EID kasoro Tanzania tu. Usipotoshe watu hapa JF, hao BAKWATA wako nani kawapa mamlaka ya kuwasemea Waislam wa Tanzania! Ningekujibu zaidi sema hapa sio mahali pake, ebu pitia hii site uone kesho ni siku gani kwa Waislam dunia nzima. ISNA.NET - main page