- Wakuu vipi Demokrasia haitumiki kwenye michezo? Yaani mwananchi anaona 2 mnataka waseme 4, wananchi wana haki ya kumshangilia yule anayeonyesha wanachokitaka yaani ujuzi wa mchezo,
- Yaani wananchi wamewekewa pumba na mchele mnataka washangilie pumba, Tanzania tutaendelea kukumbatia pumba mpaka lini?
Respect.
FMEs!