Chakula cha KFC sikielewi kabisa

Ulitegemea ukifika KFC uone jiko kama kwa mama mboga zote?
 

Mjomba unauzoefu nao 😀🤣
 
Hapo unataka kuona mpishi ametoka jikoni jasho linamtiririka.
Amekaa kwenye kiti anakunywa Pepsi.

Unataka kuona mdada anaosha vyombo vichafu

Unataka kuona wamewekwa kwenye beseni kubwaa wanachanganya na viungo.
Mf. Melia ,kibo palace,mount meru, point by sheraton zote unao a chakula kilipotokea
 
Unakula chakula kilichopikwa mwaka jana hahaha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…