Huyu jamaa anarudia maneno hayo hayo tangu ameanza kampeni
1.Sitawaangusha
2.Standard geji
3.Ring road
4.Upembuzi yakinifu
5.Nikafunge makufuli huko juu
6.Nasema kweli kabisa
7.Hiyo pawa nipeni mimi
8.Dole lililonona
Unaweza kuongezea na wewe!
10.Nitalala nao mbele
11.Kuchele
12.Vijana wa chadema nipeni hio power mimi Magufuli
13.Mtandao wa barabara umefika km 17,000,. Tumejenga madaraja makubwa na madogo