baunsa wa kike Member Joined Jul 25, 2014 Posts 83 Reaction score 36 Aug 8, 2014 #1 Habari zenu,nimebahatika kuitwa kwa ajili ya interview kampuni inaitwa Keys marketing ila siijui malipo yake na utendaji kazi wake ukoje, kwa yeyote anaeijua naomba anisaidie kunifahamisha.
Habari zenu,nimebahatika kuitwa kwa ajili ya interview kampuni inaitwa Keys marketing ila siijui malipo yake na utendaji kazi wake ukoje, kwa yeyote anaeijua naomba anisaidie kunifahamisha.
O oleoju Member Joined Jul 28, 2014 Posts 66 Reaction score 8 Aug 9, 2014 #2 ipo maeneo ya makumbusho kk
baunsa wa kike Member Joined Jul 25, 2014 Posts 83 Reaction score 36 Aug 9, 2014 Thread starter #3 Wanalipa vizuri? Au ndo walewale?
O oleoju Member Joined Jul 28, 2014 Posts 66 Reaction score 8 Aug 9, 2014 #4 ipo maeneo ya makumbusho kituo kipya cha mabasi
baunsa wa kike Member Joined Jul 25, 2014 Posts 83 Reaction score 36 Aug 9, 2014 Thread starter #5 oleoju said: ipo maeneo ya makumbusho kk Click to expand... Wanalipaje?
O oleoju Member Joined Jul 28, 2014 Posts 66 Reaction score 8 Aug 9, 2014 #6 cjajua mm mwenyewe wameniita kwenye hiyo interview jumatatu saa 3 asbuhi
ukawa JF-Expert Member Joined Apr 16, 2014 Posts 282 Reaction score 63 Aug 9, 2014 #7 Wanalipa kama forever living
baunsa wa kike Member Joined Jul 25, 2014 Posts 83 Reaction score 36 Aug 9, 2014 Thread starter #8 ukawa said: Wanalipa kama forever living Click to expand... Kwani forever living wanalipaje? au ndo kazi za kuzunguka mtaani?
ukawa said: Wanalipa kama forever living Click to expand... Kwani forever living wanalipaje? au ndo kazi za kuzunguka mtaani?