Keyboard za laptop bei gani?

Keyboard za laptop bei gani?

Msafiri Kasian

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
2,134
Reaction score
664
Keyboard ya laptop yangu (DELL) ilimwagikiwa soda, hivyo imekuwa useless, saivi nawaza namna ya kupata nyingine.

nappenda kujua inaweza kughaarimu bei gani?
model: V137325AK1.

Natanguliza shukrani
 
Nashauri ununue tu keyboard zile portable unaweza hata kuikunja . Kubadilisha keyboard huwa zinaanza ku misbehave mapema sana.
 
Zipo nyingi sana anayehitaji Aje inbox na specification za hiyo keyboard
 
Back
Top Bottom