Keyboard ya laptop inazingua.

Keyboard ya laptop inazingua.

Loyal_Merchant

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
623
Reaction score
268
Kuna laptop ya rafik yangu m1 aina ya toshiba aliniletea nimsaidie kuichek kwan ilikuwa haiwaki kabisa. Nmebahatika kutrace tatizo na nikagundua ni power adapter ndio tatizo. Lakini nilipoiwasha nikaja gundua baadh buttons za keyboard haziftnction. Hapo nifanyeje wadau inawezekana ni button tu zimekaa vibaya au mpaka nibadilishe keyboard nzima.? Msaada please..?
 
Back
Top Bottom