hizo keys huwa zinakuwepo ndani ya hiyo fifa uliyo imount. So open hiyo fifa2011 unaweza ona file limeandika serials au keys linalofunguka na notepad.lina keys hilo.kama hamna hapo then ingia kwenye main folder ambalo ndiyo linagame ambayo umeimount.kabla ya kumount hapo utaona file limeandikwa serials au keys