KAZI NI KAZI ndugu..mradi mkono uende kinywani.Watz kudharau baadhi ya kazi ndiko kulikotufikisha hapa.Kila mtu anataka kufanya kazi ofisini, sasa hizo kazi nyingine atafanya nani?Sio kubeba mabox tu wengine wanaosha masufuria hotelini
KAZI NI KAZI ndugu..mradi mkono uende kinywani.Watz kudharau baadhi ya kazi ndiko kulikotufikisha hapa.Kila mtu anataka kufanya kazi ofisini, sasa hizo kazi nyingine atafanya nani?
Ughaibuni...hakuna kujali hali... kama kazi inakuingizia unakomaa nayo tu.
Wewe mbona unataka kuingilia maisha ya watu, ulichachawa ma mu-midwestern accent wa counsellor nini wakakupiga chini?acheni blah blah wabeba boksi.
rudini makwenu fanyeni innovations,na pia muinvest makwenu.mnajiongopea ninyi
Wewe mbona unataka kuingilia maisha ya watu, ulichachawa ma mu-midwestern accent wa counsellor nini wakakupiga chini?
meseji senti!
hizo mistari wewe unaziona ishu leo mimi nilikuwa nafanya nikiwa form wani-B
Bwashee taratibu. Hawa watu kichwa ngumu sana. Labda Yesu atakaporudi atusaidie.
Huko bongo ndiyo mmeshikiwa akili, wakifa watu kwa negligence kwenye migodi mnaambiwa "kazi ya mungu" sasa nani "mpaka Yesu atakaporudi"?
Wengine ni bad news hata hatuamini Yesu wala mungu, utatusalia sala gani tukusikie usawa huu?
Bluray
No matter what is being discussed here jaribu kuepuka kuonyesha mambo yasiyoendana na unavyoji-portray humu jamvini... an intellect, bright blah blah blah... UMELIFANYIA NINI TAIFA NA WEWE?
SOme comments are uncalled for
Tusikashifiane bali tuonyeshane opportunities and threats za mazingira yote mawili
Niko bongo huko kwenu kulinishinda lakini sijuti na siwalaumu mlio huko
ninacholaumu ni negativity