Kesi ya Tundu Lisu; Sitashangaa kuona kitu tofauti na kinachowazwa na wengi

Kesi ya Tundu Lisu; Sitashangaa kuona kitu tofauti na kinachowazwa na wengi

Kiranja wa jamii

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2023
Posts
963
Reaction score
2,198
Ukisoma maoni ya wengi mitandaoni na hata Tundu Lisu mwenyewe amewahi "kudhani" mara kadhaa kuwa amefunguliwa kesi ya uhaini "kimchongo" ili kupisha kipindi cha kampeni na huenda baada ya uchaguzi kesi ikatupiliwa mbali; huu ni mtazamo wa wengi

Hata hivyo ukitafakari kwa kina zaidi na kufuatilia mwenendo wa nchi yetu sasa unaweza kuona sio rahisi hicho kitu kutokea kwasababu kadhaa;

Kwanza kabisa, kama hiyo kesi ilifunguliwa ili kumdhibiti asilete usumbufu na kero ya kufafanua fafanua mambo mazito kwa mgombea wa CCM kipindi cha kampeni, kwanini mdhani hatadhibitiwa ili asilete usumbufu pia wakati wa utawala wa atakayeshinda?

Kama kweli swala ni kumdhibiti Tundu Lisu, kwanini watu wadhani mamlaka zimejipanga kumdhibiti tu kipindi cha kampeni ambacho ni kifupi kuliko kumdhibiti kipindi cha utawala ambacho ni kirefu?

Ni mtazamo wangu kuwa kama kweli hii kesi ipo "kimchongo mchongo" kama wengi wanavyoisema, haiwezi kuisha "kimchongo mchongo" baada ya kampeni kwasababu hata baada ya kampeni Lisu hawezi kupoa, moto wake wanaufahamu vizuri sana.

Matumaini yasijengwe kwamba baada ya kampeni kesi itaisha, kama lipo la kufanywa na kundi lake la mawakili lifanyike mapema na kama halipo kujiandaa kisaikolojia ni muhimu zaidi
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Hata hao majaji waamue kupindisha ukweli, bado uongo utajitenga na ukweli.

Hiyo kesi milele itabakia kwenye kumbukumbu kwa wananchi wote wapenda haki, kama kesi ya mchongo! Na iliyotengenezwa na wahuni ili tu kuzima sauti ya mabadiliko.
 
Back
Top Bottom