Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,077 Reaction score 34,849 Jun 22, 2013 #1 Kesi ya Saif al-Islam kuanza Agosti Mwanawe hayati Mumara Gaddafi , Saif al_Islam atashtakiwa kwa makosa ya kuunda makundi ya wahalifu, kuchochea ubakaji na kuwafunga watu kinyume na sheria. http://www.bbc.co.uk/swahili/ Anatia huruma Mtoto wa Gadaffi Kinyongo kitamuhusu huyu ..................... MKUKI KWA NGURUWE... KWA BINADAMU NI???????????
Kesi ya Saif al-Islam kuanza Agosti Mwanawe hayati Mumara Gaddafi , Saif al_Islam atashtakiwa kwa makosa ya kuunda makundi ya wahalifu, kuchochea ubakaji na kuwafunga watu kinyume na sheria. http://www.bbc.co.uk/swahili/ Anatia huruma Mtoto wa Gadaffi Kinyongo kitamuhusu huyu ..................... MKUKI KWA NGURUWE... KWA BINADAMU NI???????????
MWILI NYUMBA JF-Expert Member Joined Jun 18, 2012 Posts 817 Reaction score 256 Jun 22, 2013 #2 Kwani kosa lake hasa ni nini?Kwasasa hata siwaelewi wa Libya.
MD25 JF-Expert Member Joined Jan 28, 2012 Posts 3,074 Reaction score 1,030 Jun 22, 2013 #3 Kwa mfano huu, Riziwani Kikwete na wewe ujiandae...