Kesi ya Ridhiwani Kikwete dhidi ya Dr. Slaa

Chezea Dr wewe,anatisha
 
Kesi ipo mahakaman na washtakiwa ni Dkt na mchungaji mtikila. Ila mchng amemkataa Jaji anaesikiliza kesi, pia amesema ajaitwa mahakamani na hata akiitwa jaji abadirishwe asie anaetoka hapa nchini.

Vipi kesi hii, mwenye maendeleo atu-update please.
 
Inashangaza kweli, pamoja na upendeleo wote Prince anaoupata bado anakwenda Mahakamani kumshitaki kiongozi wa Chama Cha Upinzani, Sijawahi kuona kitu kama hicho duniani. Nimeishi Nchi mbalimbali sijawahi kuona Mtoto wa Rais kumshitaki Kiongozi wa Upinzani Mahakamani.

Hata kule kwa Mugabe, haijatokea Prince baba yake ana miaka 2 na 1/2 kama Rais; atakwenda wapi baada ya hapo? Nchi nyingi hazitamchukua Sababu kama amechota pesa, Utawala wa Rais Mpya utazidai hizo pesa hakumbuki President Ibrahim Babangida na wenzake pesa zao Swiss Bank na UK na Majumba yalirudishwa kwa Wananchi wa Nigeria?

Angejiendea Shule na Kukaa Kimya kama Watoto wa Marais waliomtangulia Baba yake, Urais Miaka kumi na Ndege sio Maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…