Kiranga,
I concur with you in some extent but Bado Uhuru hawezi kuapishwa hadi mahakama kuu itakapotoa Ruling na pia CJ wa Kenya Willy Mutunga is a man of intergrity.Pamoja na kuwa human beings are fragile but CORD wanaamini atasimamia principles
Mahakama kuu ina muda gani kutoa ruling? Odinga anaweza ku muster evidence na ku rally support without risking a bloodbath within those days?
If I were a betting man, I would bet for a Uhuru presidency.
Not to say I endorse any of the two oligarchs, they are pretty much of the same ilk to me.
Kama alivyosema
Nyani Ngabu hapo juu, nchi zetu hizi mtu akishatangazwa mshindi ni vigumu sana kutengua hilo.
Kuna ma extralegal na unwritten rules kibao huko kuhusu practical matters na security yanayoweza ku prevail, kama sio outright Machiavellian 3d chess underwater, while swimming with the sharks without being eaten alive no less.
Which Raila obviously cannot play as well.
Hata Nyerere alivyokuwa katika deathbed, wajomba wajomba walikuwa hawaishi kusema"mgonjwa sana, lakini mzima bado, tumuombeee anaweza kupona".
Ndiyo haya ya kusema Raila anapeleka kesi mahakamani. Watu tunaona kabisa kazidiwa chess ila bado tunapeana matumaini "tumuombee, anaweza kushinda.
Fat chance!