Kuna umuhimu wa kufumua fumua muundo wa Elimu ya Tanzania kwani inaoneka ni ya kiwango cha chini sana... na haikidhi mahitaji ya walengwa. Ukisoma post za wachangiaji wengi hapa JF unakuta hawajui kuandika kiswahili fasaha na hata kujieleza ni matatizo makubwa. Hali hii inatisha....